Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo getoni mremboTetetetetete sister huwa unanichekesha sn
Kafanye kazi wewe UWT watoto wako hawatarithi ngonoNjoo getoni mrembo
Joyce cha wote njoo basiKafanye kazi wewe UWT watoto wako hawatarithi ngono
Fanya kazi dada angu utakufa masikini acha kuwaza ngono pekeeJoyce cha wote njoo basi
Joyce mimi nina mke nimekuambia labda uwe mchepuko wanguFanya kazi dada angu utakufa masikini acha kuwaza ngono pekee
Kwani wewe umejipanga kuvuruga uchaguzi?Yani wanajigamba kabisa " Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025" kweli evolution process ya watu weusi haijakamilika wakawa binadamu na hasa watanzania aisee.
Halafu wanajifanya wapo kiroho kuliko binadamu yeyote, kila baada ya sentensi wanataja mungu, yesu na allah, unafiki mtupu.
Wewe kalete vurugu tuu ndio itajulikana nani atashindwaTukitegemea Polisi Tutashindwa - Kikwete
Hiyo ni sababu tu ya kujustify mauaji mnayopanga, kuna mtanzania gani wa kuvuruga uchaguzi, na definition ya kuvuruga uchaguzi ni nini? Justification ya hayo masilaha ni nini? Mna kila nguvu nani anaweza kuwagusa? Mmeshazoeleka mjue, mtatisha watu muda mwingi lakini sio muda wote, bado kidogo sana watu wataona kufa ni sawa tu na kuishi na watakuwa tayari kuhamia popote kati ya hizo sehemu 2 na hapo ndio mtapata kujua mlichokwa siku nyingi sanaKwani wewe umejipanga kuvuruga uchaguzi?
Mauaji ya kina nani? Magari ndio hayo unayaona nani Wameuwawa?Hiyo ni sababu tu ya kujustify mauaji mnayopanga, kuna mtanzania gani wa kuvuruga uchaguzi, na definition ya kuvuruga uchaguzi ni nini? Justification ya hayo masilaha ni nini? Mna kila nguvu nani anaweza kuwagusa? Mmeshazoeleka mjue, mtatisha watu muda mwingi lakini sio muda wote, bado kidogo sana watu wataona kufa ni sawa tu na kuishi na watakuwa tayari kuhamia popote kati ya hizo sehemu 2 na hapo ndio mtapata kujua mlichokwa siku nyingi sana
Mauaji ya kina nani? Magari ndio hayo unayaona nani Wameuwawa?
Tumewaletea waharifu wote kokote watakakotoka.Kwani mmewaletea DRC?