Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

Yanga wanacheza soka la mvuto watanzania tunasongamana vibanda umiza na kwenye ma pub si azam si simba wote tunabanana ...mwishowe ni ushindi wa goli 2 au 3 au 1

Simba timu haina mvuto,ichezapo hata simba wenyewe wengi hawaifuatilii game zao japo mwisho wa mechi wanashinda goli 5...

Mfano wa hilo nimechi ya ysnga jumamosi iliyopita na mechi ya simba jumapili iliyopita

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yanga mwaka huu kama watachukua kombe basi ni kwa mbindeeeeeeeee
Imekuwa kwa mbinde tena,,nyie endeleeni kuota ndoto nyingine uwa zinakuwa kweli inategemea na muotaji anakuwa amelala kifudifudi au chali🤣🤣
 
Imekuwa kwa mbinde tena,,nyie endeleeni kuota ndoto nyingine uwa zinakuwa kweli inategemea na muotaji anakuwa amelala kifudifudi au chali🤣🤣
Nimesema ikiwa mtapata..bado nina mashaka kama mtalipata 😀 😀 😀
 
Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira.[emoji818][emoji817]
Miwa imegoma kuliwa. Watu wakachomoa
 
Daaaah simba ni hawana akili..
.simba wanaidharau yanga, lkn yanga hatuidharau simba, mwisho wa siku yanga ndio mkubwa
 
Back
Top Bottom