Video: Makonda akila bata maeneo tulivu

Video: Makonda akila bata maeneo tulivu

Huyu jamaa hana aibu kabisa.
Jamii ya watu kama hawa iko kila sehemu ila Usukumani niliiona kwa centigrade kubwa sana

Hili jamaa ukiliangalia vizuri ni jinga sana... unajua ule ujinga fulani uliopitiliza...Sema kwakuwa ni kiumbe cha Allah, basi tushukuru tu.
 
Kisaikolojia. Unapopotia magumu na hutaki kuonesha kuwa yapo yanayokuzonga basi utafanya kitu ili kuwaaminisha watu kuwa unafuraha tele wakati moyoni unaugua.
 
Back
Top Bottom