peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Pepo wake nani amewatoa?Msitoe lugha chafu tafadhali.
AiseeBiashara
Bila kutubu hadharani hamna kitu.Anajilisha upepo tu.Kuna mwingine aliambiwa na Kakobe atubu akafura kwa hasira na chuki.Ukibisha muulize Zacharia Kakobe.Ni utukufu MTU kubadilika Kutoka mtu Mbaya kuwa MTU mzuri.
MTU mzuri kuwa MTU Bora.
Bila kutubu hadharani hamna kitu.Anajilisha upepo tu.Kuna mwingine aliambiwa na Kakobe atubu akafura kwa hasira na chuki.Ukibisha muulize Zacharia Kakobe.
Ungamo la mdomoni linaleta ahueni/faraja kwa aliowakosea.Atubu!π
Mambo ya Kutubu hayaendeshwi Kwa Kanuni moja Mkuu.
Ungamo la kweli linatoka moyoni sio mdomoni
Ni maisha tu, hakuna cha ajabu kwani hata wewe kesho yako huijui itakuwa je,kwani maisha yameficha matukio usiyoyatarajia.Msitoe lugha chafu tafadhali.
Dawa ni kununu* waigizajiMsitoe lugha chafu tafadhali.