Pre GE2025 Video: Makonda alivyoingia na Mkokoteni wilayani Hai

Pre GE2025 Video: Makonda alivyoingia na Mkokoteni wilayani Hai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo ndiye mwamba mwenyewe Paul Christian Makonda . kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na Rais wetu kuanzia 2030.

Saizi CHADEMA hata wakisikia sauti yake kwenye redio wanatimua mbio kali kama nyumbu bila kuangalia nyuma au kugeuka
Mwanaume ambaye kutwa nzima ni kumsifia mwanaume mwenzake, huyo sio riziki.
One man down
 
😂😂😂😂 hakika hii ni futuhi! Kaka yangu PM why??? Ilimradi tu mle hela za ziara??
 
Acha ushamba wewe. Acha mwamba Makonda achape kazi .manyumbu wenzio wa CHADEMA wameshatokomea kujificha maporini huko.
Mimi wala siyo CDM bali ni CCM lakini UPUUZI huu haumithiliki. Wewe umejizima data ndiyo maana UNADHARALIWA hapa JF.

Tukipiga kura ya mtu wa HOVYO JF utashinda
 
Mimi wala siyo CDM bali ni CCM lakini UPUUZI huu haumithiliki. Wewe umejizima data ndiyo maana UNADHARALIWA hapa JF.

Tukipiga kura ya mtu wa HOVYO JF utashinda
Hapana ndugu yangu ndani ya CCM hatuna watu wa hovyo aina yako. Wewe akili zako unapaswa uwe kule kwa ma nyumbu
 
Huyo ndiye mwamba mwenyewe Paul Christian Makonda . kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na Rais wetu kuanzia 2030.

Saizi CHADEMA hata wakisikia sauti yake kwenye redio wanatimua mbio kali kama nyumbu bila kuangalia nyuma au kugeuka
Weka namba ya simu.
 
Hao watu wote wanawapatia wapi weekdays. Au ndo faida ya kuzalisha jobless mtaani ili kupata watu wakufanya mapokezi
 
Maoni yangu ni kwamba wanasiasa wanaona watanzania ni wajinga maana huu ni usanii tu akitoka hapo anapanda v8.
Yani sijui kwanini watanzania wengi wanapenda usanii wa wanasiasa wà namna hii
Mkuu sio watanzania, sema wajinga wa ccm ndio wanaendekeza huo utoto. Karne ya mitandao hii kiongozi anapanda mkokoteni atamchota nani? Watu wanawaza kumiliki magari ya kifahari anawaendea na maigizo ya mkokoteni!
 
Back
Top Bottom