Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.

UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU

Jionee mwenyewe
 

Attachments

  • Ukiwa muogo lazima uwe na kumbukumbu....hizi kazi watu walizianza kabla ya kutok ( 480 X 480 ).mp4
    3.4 MB
Dada halima kuna umuhimu gani wa kutumia matusi?

Tumia huu muda kuwaaga wana Kawe miaka 15 bungeni inatosha
 
Bashite amekuwa mubwekaji wa mkoa huku mpambe wake cyprian Musiba akiwa ni mbwekaji wa Taifa, tatizo hao wabwekaji wote wanashauriwa na Le mutuz jitu kubwa jinga lisilo na Ubongo wa kumbukumbu kichwani, huku Bashite mwenyewe hana vyeti unategemea nini hapo zaidi ya vioja?
 
Nashangaa wanakasikiliza haka kambea.. kanakaribia kuwa kachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…