Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.

UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU

Jionee mwenyewe
Unaweza kuchakachua vyeti vya Paulo Makonda vikawa vya Daudi Bashite, ila huwezi kuchakachua akili ya Makonda ikaingia kwa Bashite.

Kama kungekuwa brain transplant basi Bashite angelipa hela apandikizwe akili za Makonda kama alivyo pandikiza mimba kwa mkewe.
 
Hiyo unajua wewe na nyumbu wenzio hapa jf lakini huko site kwa wapiga kura tayari Mdee anaonekana ziro
Kawe siyo chamwino , ambako mtu kama Lusinde aweza kuchaguliwa mbunge
 
Dada halima kuna umuhimu gani wa kutumia matusi?

Tumia huu muda kuwaaga wana Kawe miaka 15 bungeni inatosha
Aiseee1 na wewe kuna mwanamke anamshukuru Mungu kupata mwanaume kama wewe? some times muwe seriouse na mambo ya nchi hii...Kuna wanawake wana misalaba kweli kweli eti nawe wa kiume??????????
 
Kawe siyo chamwino , ambako mtu kama Lusinde aweza kuchaguliwa mbunge

Cha ajabu CCM licha ya kuwa na maprofesa huwa tegemeo lao kwa kila kitu ni huyo std 7!kibajaji na wasio na vyeti na majina bandia akina Bashite cyprian Musiba na wenzao, CCM sijui mnakosea wapi!
 
Bandiko la kijinga sana hili

Shime Makonda, komesha sisimizi hawa.
Mtakoma nyie wapumbavu, huku "Sisimizi" wakipeta. Usichojua we mpuuzi ni kwamba huyo mwenzako mlango ukigonga kwa upepo huwa anakaribia kufa kwa kihoro!!!
 
Mtakoma nyie wapumbavu, huku "Sisimizi" wakipeta. Usichojua we mpuuzi ni kwamba huyo mwenzako mlango ukigonga kwa upepo huwa anakaribia kufa kwa kihoro!!!
Tafuta chai unywe kamanda..hahahah

Viva Makonda, mtaelewa tu
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo Wenye Roho mbaya kuliko Bashite leo hii wapo wapi? Malliyamungu msaidizi wa marehemu Iddy Amin dada enzi zile za kishetani alikuwa akifanya kama haya anayofanya Daud Bashite sasa.


Hahaha maneno ya mkosaji hayo, kwani wewe hauna mwisho?
 
Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.

UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU

Jionee mwenyewe
Machozi yananitoka, BASHITE utaacha lini uongi? wewe si umejipambanua kuwa umeokoka?
Utaaach lini dhambi na ujangili wa maneno?
Ona sasa unaumbuka mpumb..wewe
 
Back
Top Bottom