Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Mbona clip yenyewe ya kuchonga hiyo acha uongo! Huyo Mdee wala hatembelei jimbo lake tangu achaguliwe sisi huku Mbezi Beach hatujawahi kumwona. 2020 hatutakosea tena!
unaishi mbrzibeach ya Ruangwa?
acha ushamba wewe? Unakesha kwenye baikoko na kibao kata saa ngapi unashiriki mikutano ya mbunge, punga wewe
 
Mazombi badala mzungumzie utendaji unazungumzia mtu persona, sasa VIVA MAKONDA UNAMAANISHA nini?

Kumbuka MAKONGO, kule wengi ni wasomi si sawa na wewe hapo unapokaa fala wewe, kule wengi ni vijana wamesoma, wanajeshi wastaafu, watu na hela zao si nyumba za uridhi, hakuna nyumba za uridhi kule,
Kaolewe uko

Viva Makonda, Raisi wetu mtarajiwa.
 
Pamoja na waganga wote hao ila kipigo cha Mashangazi wa Ruangwa kikamuingia Jiwe.
Hawana hamu na wazee wa Ruangwa ndiyo maana hata Bashite mwenyewe anaweweseka sana siku za karibuni baada ya kutishiwa kuporwa Kitengo cha kamati za ufundi apewe January makamba au cyprian Musiba.
 
unaishi mbrzibeach ya Ruangwa?
acha ushamba wewe? Unakesha kwenye baikoko na kibao kata saa ngapi unashiriki mikutano ya mbunge, punga wewe
Kuandika kwenyewe hujui. Njoo Amsterdam utanikuta napata supu ya nguvu!
 
Mbona clip yenyewe ya kuchonga hiyo acha uongo! Huyo Mdee wala hatembelei jimbo lake tangu achaguliwe sisi huku Mbezi Beach hatujawahi kumwona. 2020 hatutakosea tena!
Mbunge haji nyumba kwa nyumba wewe mwenyewe ni unalelewa geti kali hutoki ndani hujui chochote juu ya kazi ya mbunge utawezaje kumuona mtu mwenye majukumu mengi muhimu?
 
Back
Top Bottom