Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Ni la kijinga kwako kwa kuwa umewekewa na ushahidi tena wa video! By the way, kwenye ule mkakati wake wa kuwapima tezidume wanaume wote wa dar umekwama nini na wapi?
Mfundisheni kujenga hoja na kuubalance ulimi wake na hisia zake!
Umeandika nini sasa?
 
Halima mdee hawezi kurudi bungeni tena
mwone alivyo na akili za kigagula! Hujawahi hata kupiga kura na wewe huishi jimboni kwake, yanakuhusuje ya kutokurudi kwake bungeni? Au wadhani bungeni wanarudi kwa bajaji?
Nina mashaka na uwepo wako humu kwani Kuna kakikundi kameajiriwa na huyo Domo pambe lisilochuja Cha kusema ili kumpa promo kwa hoja zake za kisengerema!
 
Mbunge haji nyumba kwa nyumba wewe mwenyewe ni unalelewa geti kali hutoki ndani hujui chochote juu ya kazi ya mbunge utawezaje kumuona mtu mwenye majukumu mengi muhimu?
Wewe mwenyewe unajiita mnyoo!!
 
Wewe mwenyewe unajiita mnyoo!!

Wajinga mbumbumbu kama nyinyi mnaosengenya ID za JF ndiyo ndiyo vilaza mnaoshinda ghetto kwa cyprian Musiba mkikariri upumbavu wao, kwani Mbona wewe unajiita Magu na una untindio wa Ubongo? Tambua humu wenye Upeo hawana Time na ID ya JF husimama na mada Hoja pekee, jina la kazi humu halitoki kanisani wala msikitini kwenye ubatizo na kuwa na jina Zuri siyo kuwa na Akili za kujenga hoja, peleka Bangi zako huko wa mazuzu wenzako huku waache wenye uelewa wapambane kwa Hoja
 
Maneno mengiiii lakini upupu mtupu!!
 
Write your reply...Jambo ambalo wengi hawajui jiwe ana tatizo la kiakili na anatumia vidonge:na teuzi anazofanya ni za wehu wenzake ndo mana tupo kwenye janga la kitaifa!!!!ngoja arudi kutoka kwenye matibabu ya kisulisuli huko korea ya kaskazini!!!
 
Hawana hamu na wazee wa Ruangwa ndiyo maana hata Bashite mwenyewe anaweweseka sana siku za karibuni baada ya kutishiwa kuporwa Kitengo cha kamati za ufundi apewe January makamba au cyprian Musiba.
January Makamba mwisho wa matatizo, hakuna spea yake.
 
Andika nondo zako tuzione!jikite kwenye mada mkuu!!!
Hao watetezi wa CCM wengi hawana Hoja nondo watazitoa wapi? Wengi wapo ghetto kwa le mutuz na kwa cyprian Musiba wanakariri maneno ya kulishwa ndiyo maana watetezi wote wa CCM hufanana hawana ujanja mbele ya wasaka haki wa upinzani.
 
Back
Top Bottom