List 255
JF-Expert Member
- Oct 26, 2019
- 270
- 538
Umekula mchana nyumbu?Sasa ambacho hujaelewa ni kipi hapo? Zero brain mna shida sana
Umekula mchana nyumbu?Sasa ambacho hujaelewa ni kipi hapo? Zero brain mna shida sana
Acha ubaguzi mkuuWaru wenye kithembe sijui nawaonaje....huwa wana matatizo
Ka makonda ?Nashangaa wanakasikiliza haka kambea.. kanakaribia kuwa kachawi
Wale wa kwako wakifa hakuna anayetaka kusikia habari zao na kujifunza kwayo . Wa Germany hawataki hata kusikia habari za Hitler . CAR hawapendi hata kukumbushwa habari za Bokassa.Halafu inabadilisha nini? Hawajaoza na kuliwa na wadudu?
Ni kweli anafaa apuuzwe na hapa jukwaani ndipo hupata fundisho sahihiHuyu mtu asie na vyeti ni wa kupuuza tu!
Usikute wewe ni makonda mwenyewe uandishi wako umekaa kama Tabia mbovu za wewe makondaUmekula mchana nyumbu?
Na kila anachofanya hufeliKosa kubwa la makonda ni kila kitu kukiweka kwenye siasa....
Wale wa kwako wakifa hakuna anayetaka kusikia habari zao na kujifunza kwayo . Wa Germany hawataki hata kusikia habari za Hitler . CAR hawapendi hata kukumbushwa habari za Bokassa.
Baba yake yupi? MtuPori?Bashite karithi wendawazimu wa "baba" yake!
Utafiti ule wa Twaweza kuhusu wapenzi wa CCM kuwa wengi wazee(vikongwe), wajinga na masikini wa kipato unaonekana uko sahihi 100% baada ya kusoma post yako hii.Hahahaaa umekunywa chai we ngedere??
Hii awamu mtaona picha zote
Na kwa Dsm..salaam zenu tunawaandalia 24/11
Nyumbu mfuu nyie..
Kaolewe uko
Viva Makonda, Raisi wetu mtarajiwa.
Madam Barbarosa ninaamini nafsi yako inakusuta. Kujaribu kutetea udhalimu kuwa ndiyo mfumo mzuri wa maisha. Kamwe haitafanikiwa Africa especially Tanganyika. Waganda hawana cha kujivunia kupitia utawala wa Amin, Zaire hawana cha kujipiga kifua mbele, na mfano mbovu wa Mobutu kujaribu kutengeneza international airport ktkt ya pori la Gbadolite. Libya leo imesambaratika kwa sababu Ghadaffi alidhani yeye ndiyo Alfa na Omega ya taifa hilo, bila kujali aliowaita mende.Lkn Wajerumani na Dunia nzima inapenda kuendesha gari za Volkswagen group ( Audi, Porsche, Lamborghini, Bentley, Bugatti), Volkswagen ilianzishwa na Adolph Hitler, USA Interstate Highway System Raisi wa USA Eisenhower alikopi kutoka NAZI Germany, NASA space agency ya USA ilijengwa na Hitler’s scientists & engineers bila Adolf Hilter USA isingetua mwezini, kinywaji cha Fanta naamini hata wewe umeshawahi kunywa kiligunduliwa na nazi germany chini ya Adolf Hitler, Atomic bombs zote za USA na Soviet Union zilitegemea nazi scientists wa Adolf Hitler, B 52 Bomber ya USA ni nazi technology chini ya Adolf Hitler, kwa kifupi USA and Soviet Union Military superiority ilitegemea nazi technology iliyoibwa/taifishwa kutoka kwa Adolf Hitler.
Hivyo mbaniani mbaya lkn kiatu chake dawa, Dunia nzima mpaka leo hii inanufaika na nazi technology chini ya Adolf Hitler, ...
Kwani huyo kiongozi kutukana kaona kikiki?NAE PIA KAJISHUSHIA THAMANI SANA,kwani wananchi siwamemuona anayoyafanya kujibu kwake kwa matusi anaonekana kiongozi boya tuBashite karithi wendawazimu wa "baba" yake!
Madam Barbarosa ninaamini nafsi yako inakusuta. Kujaribu kutetea udhalimu kuwa ndiyo mfumo mzuri wa maisha. Kamwe haitafanikiwa Africa especially Tanganyika. Waganda hawana cha kujivunia kupitia utawala wa Amin, Zaire hawana cha kujipiga kifua mbele, na mfano mbovu wa Mobutu kujaribu kutengeneza international airport ktkt ya pori la Gbadolite. Libya leo imesambaratika kwa sababu Ghadaffi alidhani yeye ndiyo Alfa na Omega ya taifa hilo, bila kujali aliowaita mende.
Mifano ni mingi. Tanganyika inahitaji ueledi na uzalendo, lakini siyo dictatorship. Tutaishia kuwachukia wote wenye mawazo mbadala, ikiwa ni pamoja na kuwapoteza , kuwafunga na kuwadhalilisha. Lakini ukweli ni kuwa nchi imeharibiwa na hao mnaowatetea kwa nguvu zote. Ikiwa ni pamoja na mikataba mibovu na kuua mashirika ya umma. Si hawa wenye mawazo mbadala !!
Wanasema mitandao ndio watajua. Walala hoi wanajua NI Makonda aliomba kwa Rais.Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.
UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU
Jionee mwenyewe
Mwambie mbwiga huyo! Anadhani Makongo ndio kama kule kwao mtaa mzima ni ugomvi wa urithi wa nyumba na kuwangiana?Mazombi badala mzungumzie utendaji unazungumzia mtu persona, sasa VIVA MAKONDA UNAMAANISHA nini?
Kumbuka MAKONGO, kule wengi ni wasomi si sawa na wewe hapo unapokaa fala wewe, kule wengi ni vijana wamesoma, wanajeshi wastaafu, watu na hela zao si nyumba za uridhi, hakuna nyumba za uridhi kule,
Mbona kama sauti sio halima Mdee au cku hizi hana baseMnamsikiliza huyo mropojaji, alikuwa anabrashi viatu baadaye akaanza kuwaita wauza madawa ya kulevya familia nzima
Nakazia.Bandiko la kijinga sana hili
Shime Makonda, komesha sisimizi hawa.