Video: Mama wa kambo awatesa watoto wa kufikia (Inasikitisha sana)

Video: Mama wa kambo awatesa watoto wa kufikia (Inasikitisha sana)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hili ni tukio la kweli.



UNYANYASAJI KWA WATOTO NI KOSA KISHERIA, TOA TAARIFA UNAPOONA MATUKIO YA NAMNA HII KWENYE JAMII.
 
Sijaifungua ila vyombo husika vifanye kazi yake mara moja!
 
Huyo mume nae (kama yupo nao nyumbani) ni bwege kweli kweli. Hivyo ni vipigo tu, hatujui anawalisha nini maskini ya Mungu.....naona midomo inavipelevipele inawezekana hata vichafu anawapa tu kwa chuki alizonazo dhidi yao.

Ila huyo dada anayemkoromea huyo mtoto kwa matusi nae ameniuzi kweli......kwa hali yao yampasa aende nao taratiiibu lkn ndo kwakuwa tuna haraka ya kurusha kwenye mitandao......basi ndo hivyo tenaa!
 
Back
Top Bottom