Huyo mume nae (kama yupo nao nyumbani) ni bwege kweli kweli. Hivyo ni vipigo tu, hatujui anawalisha nini maskini ya Mungu.....naona midomo inavipelevipele inawezekana hata vichafu anawapa tu kwa chuki alizonazo dhidi yao.
Ila huyo dada anayemkoromea huyo mtoto kwa matusi nae ameniuzi kweli......kwa hali yao yampasa aende nao taratiiibu lkn ndo kwakuwa tuna haraka ya kurusha kwenye mitandao......basi ndo hivyo tenaa!