Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla.

Hebu chota busara hizi kutoka kwake

Mbona umesahau,kuwa alipewa uenyekiti wa Chadema na Mbowe baada ya kuhangaika sana mara TLP mara team Lowassa n.k
 
Anapoteza muda wake bure Magufuli hayupo yuko kwa Mungu wake. Alipashwa kuongea alipokuwepo asituchoshe bure!
Mzee huyu nae anahangaika sana na anapenda madaraka,awali alikimbilia TLP akawa mwenyekiti baadae akarudi CCM akawa team Lowassa alipokosa akakimbilia Chadema ,Mbowe akampa uenyekiti wa Chadema wa wilaya kwa kuwalazimisha wana Chadema kuwa huyu kuanzia leo ndio anakuwa mwenyekiti wenu, ameenda wee Chadema wenyewe wakamwambia mzee pumzika kaa pembeni, sasa anacholalamika sikijui ni porojo tu za utu uzima.
 
Oooh kumbe anasumbuliwa na njaa tu.
 
Hata wewe siyo mwamuzi ,kwanini uhitimishe kuwa yuko kwa Mungu.Matendo ya Kila mmoja yata determine wapi uende ,lakini Kwa Magu hatuhitaji X-ray kujua yuko wapi.
Who are you? Mpaka umsemee Mungu?? Mimi nimwtumia neno Labda yuko kwa Mungu wake wewe unakuja na utopolo wako eti kwa sababu alikunyoosha kwenye wizi na uuza madawa ya kulevya wako!!
 
Wazee Kama hawa husitegemee kuwakuta Kongwa wala Kondoa. Huyu kwa vile ni Kasyupa ndo maana unamuona anajielewa. Kasyupa mzee wetu Mungu aendelee kukulinda.
 
Mzee huyu nae anahangaika sana na anapenda madaraka,awali alikimbilia TLP akawa mwenyekiti baadae akarudi CCM akawa team Lowassa alipokosa akakimbilia Chadema ,Mbowe akampa uenyekiti wa Chadema wa wilaya kwa kuwalazimisha wana Chadema kuwa huyu kuanzia leo ndio anakuwa mwenyekiti wenu, ameenda wee Chadema wenyewe wakamwambia mzee pumzika kaa pembeni, sasa anacholalamika sikijui ni porojo tu za utu uzima.

Akili ndogo ndio huzungumzia watu badala ya kuzungumzia hoja!! Hapa hoja ya Alipipi Kasyupa ni jinsi DEMOKRASIA ilivyonyongwa nchini huku nchi ikishehrekea miaka 60 ya uhuru wa TANGANYIKA. Hapo ndio mjadala ujikite badala ya hizo propaganda za wenye njaa!
 
Anapoteza muda wake bure Magufuli hayupo yuko kwa Mungu wake. Alipashwa kuongea alipokuwepo asituchoshe bure!
Wewe magu2016 unajuwa kabisa ndugu yenu alikuwa anaua wakosoaji, bado ulitaka huyu Mzee aseme wakati wa uhai wa yule Dikteta? Angemuua kama Ben Saanane au kama aluvyotaka kunuua Lissu.

Wacha tu tumseme saa hizi mpaka Dunia ituekewe kuwa 2015- 20, Tanzania ilitawaliwa na SHETANI
 
Mzee huyu nae anahangaika sana na anapenda madaraka,awali alikimbilia TLP akawa mwenyekiti baadae akarudi CCM akawa team Lowassa alipokosa akakimbilia Chadema ,Mbowe akampa uenyekiti wa Chadema wa wilaya kwa kuwalazimisha wana Chadema kuwa huyu kuanzia leo ndio anakuwa mwenyekiti wenu, ameenda wee Chadema wenyewe wakamwambia mzee pumzika kaa pembeni, sasa anacholalamika sikijui ni porojo tu za utu uzima.
Kama hujamuelewa Kasyupa hapa basi labda Munntu gwako fikajamo nafimo
 
Akili ndogo ndio huzungumzia watu badala ya kuzungumzia hoja!! hapa hoja ya Alipipi Kasyupa ni jinsi DEMOKRASIA ilivyonyongwa nchini huku nchi ikishehrekea miaka 60 ya uhuru wa TANGANYIKA. Hapo ndio mjadala ujikite badala ya hizo propaganda za wenye njaa!
Mimi na wewe nani mwenye njaa,wenye njaa wanajulikana ikiwa pamoja na wewe na hao jamaa zako walamba viatu vya gaidi
 
Kama hujamuelewa Kasyupa hapa basi labda Munntu gwako fikajamo nafimo
Shida ni kuwa wewe umeanza kumfahamu huyu mzee alipohamia kwenye SACCOS yenu sisi wengine tunamfahamu kabla hata wewe hujamjua,mengine hatutaki kuyasema hapa tusije tukamvunjia heshima huyu mzee,mwache tu apumzike, kuongea na kulaumu serikali ni haki yake kikatiba sawa na wewe ulivyo na haki yako ya kumsemea gaidi kila kunapokuchwa hapa JF.
 
Mimi na wewe nani mwenye njaa,wenye njaa wanajulikana ikiwa pamoja na wewe na hao jamaa zako walamba viatu vya gaidi

Jibu hoja were mbwiga; demokrasia imenyongwa au haijanyongwa? Mimi sio wa buku saba kama wewe au pengine wamewaongeza siku hizi!!!
 
Back
Top Bottom