Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Who are you? Mpaka umsemee Mungu?? Mimi nimwtumia neno Labda yuko kwa Mungu wake wewe unakuja na utopolo wako eti kwa sababu alikunyoosha kwenye wizi na uuza madawa ya kulevya wako!!
Magufuli alifariki 17/03/2021
 
Hakuna haja ya kusherekea UHURU hali hatupo huru
 
HAWA NI WAZEE WA KWELI WALIOBAKI, SIO VIONGOZI WADINI, WAZEE WA CCM , WASTAAFU WA CCM NA SERIKALI WAANDAMIZI HAWANA BUSARA YA KUKEMEA MATENDO MABAYA YA KIMAADILI YA WAZI KABISA ALIYOTENDA NA KULETA SURA MBAYA YA DEMOKRASIA .....ETI NAKUPA GARI...mshahara...alafu umtangaze mpinzani....kwa kiongozi wa nchi limeharibu Sana, utengenezaji wake unatakiwa kwa haraka Sana...limeleta madhara maabaya kwenye jamii hii kuliko tunavyokaa kimya
 
Nilimfahamu Kasyupa kwenye eneo linaloitwa Mpiki Kimbwala , kijiji cha Bukinga huko Ipande , akiwa kwenye kampeni mwaka 1980 , wewe wa kunifahamisha mimi kuhusu Kasyupa !
 
Nilimfahamu Kasyupa kwenye eneo linaloitwa Mpiki Kimbwala , kijiji cha Bukinga huko Ipande , akiwa kwenye kampeni mwaka 1980 , wewe wa kunifahamisha mimi kuhusu Kasyupa !
Wacha nikae kimya sababu nikizidi kusema nitakuwa nazidi kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
 
aongee na ss wenziwe ambao bado tupo hai,alipaswa aongee kpnd yu hai,akiongea ss hv tunamuita ni wale wanasiasa wasiojielewa ,wenye siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice)
Ulitaka akutwe kwny viroba huko baharini 😁😁
 
Pro tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…