Na hii video iliwekwa lini?Mmmh, video hii hii iliwekwa wakati waasi wa Mali walipowashambulia askari wa Wagner group katika ile ambush
Leo hii tena naona video ile ile kuwa ni askari na Merikani na Israel? Wakuu hebu wazee wa kudadavua watusaidie hilo
Huu uzi mashoga wa JF hawausogelei, na anaeusogelea tu, utamjuwa, hawajifichi mashoiga zao wakiumbuliwa.Wanaukumbi,
Angalia hizo video
Marekani na
IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo.
Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen.
Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa zimesambaa baada ya kushambuliwa na Wayemen.
Propaganda za wasaka bikra.Mmmh, video hii hii iliwekwa wakati waasi wa Mali walipowashambulia askari wa Wagner group katika ile ambush
Leo hii tena naona video ile ile kuwa ni askari na Merikani na Israel? Wakuu hebu wazee wa kudadavua watusaidie hilo
Propaganda za wasaka bikra.
Wao kazi yao ni kuwaza kumwaga damu tuu
Katika hao 72 na bikila maria yumoWaislamu mna mambo ya kijinga sana - mtakufa kama kuku mabandani ati kusubiria ma bikra 72 hulo ahera
40,000 so far Gaza ila hamjakata tamaa..ujinga mtupu.
Bikra maria hayupo kwenye huo ujinga....watakufa kama nzigeKatika hao 72 na bikila maria yumo
Usiwe punguani achia akili yako sikiliza hii.Bikra maria hayupo kwenye huo ujinga....watakufa kama nzige