Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Hi
Wanaukumbi,

Angalia hizo video
Marekani na
IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo.

Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen.

Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa zimesambaa baada ya kushambuliwa na Wayemen.
Mzee Uharo bana, unapenda sana kuhara.
Kwa hiyo baada ya Col Douglas claim kuwa wanajeshi wa Israel na US wameuawa baada ya ku infiltrate Yemen ukaamua kwenda kutafuta ka video kasiko husiana ili kunogesha furaha yako.
Yote aliyoyaongea Douglas amekiri kwamba ameambiwa na hana uhakika maana ni open source, na akaendelea kutoa mawazo yake akisema “anahisi”. Sasa wewe umeileta kama breaking news. Au hupendi kusikiliza details kwa kuwa utaishia kutoipenda habari yote?
 
Propaganda za wasaka bikra.
Wao kazi yao ni kuwaza kumwaga damu tuu
Sasa hiyo video ya kamanda wa marekani pia ni propaganda ,huko israel kaishiwa wanajeshi na hapo anapigana na mgambo tu, na turkey kazuia kuingiza chochote israel, kuna upungufu wa chakula, magari na bidhaa muhimu israel ambaye amekuwa akitegemea viwanda vya turkey, huku red sea hali tete
Hivi unajua hata umeme wa ofisi za idf israel na israel ministry of defence wanaitegemea turkey?
 
Hi

Mzee Uharo bana, unapenda sana kuhara.
Kwa hiyo baada ya Col Douglas claim kuwa wanajeshi wa Israel na US wameuawa baada ya ku infiltrate Yemen ukaamua kwenda kutafuta ka video kasiko husiana ili kunogesha furaha yako.
Yote aliyoyaongea Douglas amekiri kwamba ameambiwa na hana uhakika maana ni open source, na akaendelea kutoa mawazo yake akisema “anahisi”. Sasa wewe umeileta kama breaking news. Au hupendi kusikiliza details kwa kuwa utaishia kutoipenda habari yote?
Uharo mtupu.
 
Huyu Ritz kama ni mtanzania serikali imchunguze sana mtu huyu anachuki ya ajabu na wasiokuwa waislamu. Ipo siku atajilipua ama kuchinja watu kama kuku nchi hii. Waislamu ni jamii ya watu wasiopenda amani kbs wao wakiona damu inamwagika kwao burudaani kabisa
Wewe punguani kweli chuki yangu
Ipo wapi mimi nimeleta maneno ya -US Col. Douglas Macgregor labda yeye ndiyo ana chuki.
 
Na hii video iliwekwa lini?

Mali wanaisho Waarabu wa Yemen?
Kwani maiti zimeonesha pia vitambulisho vyao kuwa ni wa Yemen? Mtu yeyote aweza kuedit na kupachika maneno yake hapo na kudai ni Afghanistan, ni Marekani, ni Sudan ni Israel n.k.
 
Huyu Ritz kama ni mtanzania serikali imchunguze sana mtu huyu anachuki ya ajabu na wasiokuwa waislamu. Ipo siku atajilipua ama kuchinja watu kama kuku nchi hii. Waislamu ni jamii ya watu wasiopenda amani kbs wao wakiona damu inamwagika kwao burudaani kabisa
Hapana mkuu hana chuki na wasiokuwa waislamu ila kuna udhalimu mkubwa wapalestina wanafanyiwa na mazayuni huku baadhi ya watu wakishangilia ,ila wenye akili timamu wakiwemo wakristo na waisrael wakichukia ukandamizaji huu
Mfano kuna mama muisrael ambaye alijiuzulu kutoka ikulu ya marekani kwa kulaani uonevu wanaofanyiwa wapalestina kwa kutumia jina la waisrael
 
Kwani maiti zimeonesha pia vitambulisho vyao kuwa ni wa Yemen? Mtu yeyote aweza kuedit na kupachika maneno yake hapo na kudai ni Afghanistan, ni Marekani, ni Sudan ni Israel n.k.

A number can be considered true if Israeli media itself admits to it.

"Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defence Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in Gaza."

middleeastmonitor.com/20240805-at-le…
 
Ni ngumu kwa mkristo wa tanzania kuamini chochote kibaya kwa israel ,hata waisrael wenyewe hawapo kama nyie
Hawa Walokole wa JF wengi ni majinga sana yanapiga wakati -US Col. Douglas Macgregor, anakubali kweli Yemen wameuwa Wanajeshi wa Marekani na Israel.
 
Mmmh, video hii hii iliwekwa wakati waasi wa Mali walipowashambulia askari wa Wagner group katika ile ambush
Leo hii tena naona video ile ile kuwa ni askari na Merikani na Israel? Wakuu hebu wazee wa kudadavua watusaidie hilo
Mali walishambuliwa Wagner pamoja na wanajeshi wa mali unge ona rangi nyeusi ata moja apo
 
A number can be considered true if Israeli media itself admits to it.

"Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defence Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in Gaza."

middleeastmonitor.com/20240805-at-le…
Kwani unadhani hakuna wapinzani dhidi ya Serikali miongoni mwa Wayahudi wa Israeli? Sio kila taarifa kutoka vyombo vya habari vilivyopo Israeli ni Taarifa sahihi. Utaaminije magazeti, Radio na Tvs za udaku?
 
Ni ngumu kwa mkristo wa tanzania kuamini chochote kibaya kwa israel ,hata waisrael wenyewe hawapo kama nyie
Hapana. Uongo na Uzushi vitabaki kuwa ni uongo na uzushi hata kama vimesemwa na IDF, Marekani, Houthis na wanaofanana na hao.
 
Kwani unadhani hakuna wapinzani dhidi ya Serikali miongoni mwa Wayahudi wa Israeli? Sio kila taarifa kutoka vyombo vya habari vilivyopo Israeli ni Taarifa sahihi. Utaaminije magazeti, Radio na Tvs za udaku?
Wewe upo wapi Uyole?

Unajua Yedioth Ahronoth newspaper?

Ni gazeti la upinzani?

Yedioth Ahronoth newspaper ni gazeti la udaku?

Fikra za walokole wa JF zinachekesha sana.
 
Back
Top Bottom