Sina hasira na waisrael ila ninapinga kinachofanywa na serikali ya kizayuni waisrael hawajanikosea kitu ,ndio maana unaona hata yule mama wa ikulu ya marekani muisrael alijiuzulu kupinga sera na tabia za mazayuni dhidi ya wapalestinaHasira ya nini?! Kwani wayahudi walikufanya nini?