Umeuliza swali zuri na kiuledi.
Ni hivi, mahusiano ya nchi huwa yanatengenezwa na ties, mijawapi ya hizi ties ni pale unapoweza mkakubaliana kwamba, badala ya sisi kuja huku na kununua magari kwanini usije nchini kwetu ukafungua kiwanda cha ku assemble?
Au, tuna mpango wa kuanza kutengeneza simu, ila tutaangalie ni kampuni ya nchi gani tuipatie tender ya kututengenezea screen or power ACE. Hap unaowapatia hiyo tender unakiwa unajaribu kuwafanya waione thamani yako kwao, unawapatia soko la products zao, kwa kuwapatia soko unakuwa unawasaidia kujiimarisha kiuchumi. Ila, katika maeneo ambayo umeamua kuwapatia wayahudumie yanakuwa ni yale ambayo unayamudu lakini unakia umeamua ku trade kwa ajili ya mahusiano.
Mfani halisi nikupe, mteja mkubwa wa mbao za Canada ni US, mteja mkubwa wa umeme wa Canada ni US, mteja mkubwa wa maziwa ya Canada ni US, je unadhani ni kwa sababu US hawezi au hana technology ya kuzakisha umeme? Unaona jinsi US amemkamata Canada? Si sababu ya ujirani wa mipska, bali hizi economic ties ndiyo zimewafungamanisha. Je unadhani US hawana miti ya mbao?