inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hiyo haikuwa hoja husikaKwenye suala la biashara hutakiwi kuangalia upande mmoja. Je, wafanyabiashara na kampuni za Turkey ambazo zilikuwa zinaexport bidhaa zake Israel hazikuathirika? Je, watapata wapi wateja wengine wa kununua bidhaa kama Israel kwa haraka?
Siku mkijadili vitu bila mihemko ndo mtaelewa