Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Mkuu wewe unaumia nini hawa wauaji wa watoto wakilipwa kwa wanachokifanya Gaza.
Siumii kiviile, ila sipendi habari zenye mashaka na zisizokuwa na ukweli uliothibitika. Otherwise, kama ni majadiliano tu ili kuchangamsha jamvi, hakuna shida - tuendelee tu mkuu.
 
Ni punguani peke yake ndiyo hawezi kuwachukia Waisrale yaani watu wanauwa watoto zaidi ya 15.000 na wanawake wanapiga mabomu shule unataka watu wawapende? Labda mashoga peke yake na mapunguani ndiyo wataendelea kuwapenda.
Unao ushahidi au ndio news zenu from msikiti.. watoto elfu 15 unawaweka front line akili za ki Allah Allah pekee ndio zilivyo so hao watoto nao wataenda kupewa mabikila 70? Hivi pepo yenu imejaa wanawake kama kitchen party..
..
Wapiga debe wa Hamas wote akili finyu.. mimi hata kama ni muongo siwezi danganyia vifo vya watoto pelekeni ushoga wenu Kwa Allah pale Mecca. Idadi hiyo elfu 15 basi Gaza watoto wameisha.. tupe hesabu ya watoto waliobakia ili muache uongo mliofundishwa na Allah na Mtume wenu.. eti kuongopa ni halal kwa mke,Adui na Rafiki yako.. sasa nani hapo anabakia shetani anawapigia makofi good job Allah good job Allah maana kazi yake imeingiliwa na muslims
 
Hamas waliouawa kwenye lile shambulizi idf imetoa majina yao
Achana na hao Msikiti TV.. nilishawaomba japo jina la mtoto mmoja aliyeuliwa wakaniambie niulize Google.. hao uongo ni sehemu yao ya ibada.. Allah aliwaambia kiwa ndio bingwa wa uongo hawezekaniki..ndio mislims wamerithi.. so kila habari waletayo ni uongo.. zingine ni animations walishaleta news Hamas wametungua Helicopter ya Israel kwa picha za video wachambuzi wakakuta uongo wanatoa kwenye video game..

Hii video waliyoileta haina uhusiano wowote na Israel IDF uniform tu zinawatoa out.
 
Wanajeshi hamna huko Israel

Kashfa Kubwa 😲😲
Picha iliyovuja kutoka #Gaza inaonyesha wanajeshi wa mataifa ya Magharibi wakipigana pamoja na jeshi la Israel.‼️‼️‼️
Nilikuambia mwanzoni mwa vita kwamba wanaopigana huko #Gaza sio tu jeshi la Israeli, lakini pia mamluki na vikosi vya Magharibi, pamoja na #Amerika, #Uingereza, #Ufaransa, na #Ujerumani.

View: https://x.com/silentlysirs/status/1822563477262610789?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ujinga wako Wayahudi papote Duniani wakisikia vita wanarudi kwao kutetea taifa lao.. Allah kawaharibu Sana akili zenu Wewe muislam waMtwapa Bomburi Mombasa unatetea Waislam wa Gaza why? Hypocrisy is a sign of Muslims

Nyie mmecopy vya Mussa and hamtaki mamaster wenu watimize wajibu wao
 
Huyo hana anachojua ila anaandika alichokisoma, siyonalichoelewa au anachokijua. Hata huo umeme Israel inainunua Turkey ni 7% na siyo kama hajitosheleza bali ni sababu za kimahusiano tu na hapo Turkey ndiye anaibembeleza hiyo biashara
Yaan kwako una mchele umejaa ndani, unaona ili kuimarisha mahusiano na mwenye duka unaona ukanunue tu mchele hata kama upo ndani?? Wale manabii fake kuwapiga pesa halali yao kwa sababu mipumbavu mmejaa
 
Marekani inaponunua mafuta Saudi Arabia na kwingineko ni kwa sababu yenyewe haina?
 
Hii habari ni ya uongo Mod pigeni ban watu kama hawa kila siku wanaleta habari za uongo washafanya jf ni sehemu ya Mawaidha same na misikiti baada ya ibada zao za kishetani.. huanza kuongopeana hadi wengine yakozidi huondoka bila kuaga kimya kimya..

Habari ya uongo haipo hata kwenye chombo Chao cha propaganda Al jazeera..

And hawa watu walivyo hiyo siku ya kuua Waisrael ingekuwa ni siku ya sherehe dunia nzima katika uislam. Na wangesema unabii wa Mtumwe wao kuwa kuua wayahudi kila alipo hata mawe yatasema huyu hapa myahudi kajificha.. now watasema Russia ndio jiwe
 
Angalia huyu punguani anaharisha unadhani JF ni mali ya Kanisa?

Huoni hiyo video ya -US Col. Douglas Macgregor?

Tulia dawa iingie mabwana zako wanapata haki yao.
 
Wapasuane tu mwisho wa siku wataheshimiana.

Wacha inyeshe tujue panapovuja.
 
Back
Top Bottom