Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

Wewe unazijua longolongo za wabongo ama unazisikiaga tu? Jiggers wreak havoc in Mbeya rural communities Soma habari hizi hapa kutoka kwa wanahabari wa kitanzania, kuhusu funza ambao waliwafanya wanakijiji wa Itete, Wilaya ya Rungwe maeneo ya Ml. Rungwe kule MBEYA, nadhani ni nchini Kenya, wahame kutoka kwa vijiji vyao kwasababu ya imani yao kwamba funza ni uchawi.
Bado kuna hadithi nyingine ambayo iliondolewa kule google .mwanamke alitolewa funza nyingi sana mwilini.wanadhani hatujui chochote kuhusu tz. Acha waendeleze unafiki ila ukweli tunaujua.
 
Ndio maana hizo habari nilizokuekea hapo za wanakijiji wakihama kutoka kwa kijiji chao, kule Kijiji cha Itete, maeneo ya Ml. Rungwe, Wilaya ya Rungwe, Mbeya kwasababu ya funza, nimekuambia mapema kwamba ni za Kenya na sio Tanzania. Alafu hao wakenya wamenishangaza sana, wanasema walivamiwa na funza kwasababu ya uchawi.
Akili yako ina funza!
 
Akili yako ina funza!
Kweli kabisa, funza kama hawa ambao maceleb wenu wa Big Brother walikuwa wanawatoa kutoka kwa watoto waliovamiwa nao kule Moshi, Kenya.
705724.png
https://www.the-star.co.ke/news/201...-brother-stars-fight-jiggers-in-moshi_c704792 Soma hapo ujionee mwenyewe walivosema kwamba funza ni janga kuu kule mashinani Moshi, Kenya. Huyo mrembo aliyechuchumaa hapo kando ni Cecilia Mwangi aliyekuwa Miss Kenya na alileta kampeni yake ya kuangamiza funza hadi huko huko Moshi, Kenya.
 
Tazama video ya Kusikitisha,Africans tuna safari ndefu bado.

Tazama.
Niliwahi kuwa nao kipindi nikiwa nakaa kijijini yaani we acha tu tena hasa kutokana na kukaaa kwenye nyumba isiyo sakafiwa,kutembea pekupeku, n.k
 
Word
Ministry of international affairs should strictly put a ban to Kenyans from entering Tanzania without the medical certificate of jiggers free approval

They will be smuggling jiggers into the country this matter should be serious to all Kenyan borders and airports
 
Kweli kabisa, funza kama hawa ambao celeb wenu wa Big Brother alikuwa anawatoa kutoka kwa watoto waliovamia nao kule Moshi, Kenya.
705724.png
Tanzanian Big Brother stars fight jiggers in MoshiSoma hapo ujionee mwenyewe walivosema kwamba funza ni janga kuu kule mashinani Moshi, Kenya. Huyo mrembo aliyechuchumaa hapo kando ni Cecilia Mwangi aliyekuwa Miss Kenya na alileta kampeni yake ya kuangamiza funza hadi huko huko Moshi, Kenya.
Ldc
 
Unajua majirani zetu mna tambo nyingi sana zisizo na msingi mnasahau kuwa bado sisi sote E.A tuna safari ndefu. Tunahitaji zaidi kushikamana kuliko kushindana au kuchambana. Nchi zetu zote bado zina kazi kubwa hasa kwenye Sekta ya Afya. Kila nchi ina matatizo yake. Cha msingi ni kushirikiana zaidi kuliko kushindana
 
Back
Top Bottom