Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

Poleni majirani zetu, kwanza inawapasa kuikubali hiyo hali, pili inawapasa muwajibike kuwainusuru jamii hiyo kwa hilo janga.
Mimi kazi zangu zinanizungusha Tanzania yote mijini na vijijini na hakuna sehemu yenye funza kwa kiasi hiki.
Tatizo la majirani zetu Ardhi yote mumewauzia makabaila hivyo kizazi cha sasa hakina ardhi ya kuweza kuishi kwa nafasi.
Badala yake sasa familia nyingi masikini zinajikuta zikiishi kwenye maongamano na vumbi bila kuwa na sehemu nyingine ya kuhamia kwa ghalama nafuu.
Sera ya Ardhi ya Kenya itawapa taabu sana baadae, wengi mtaishi maisha ya ufukara uliokithiri.
 
Endelea kuokoteza habari za hapa na pale, but kwa karne hii haya mambo ndio nayaskia Kenya, Shame.
Acha kupanick, Mbeya, Mwanza na Moshi zote zipo Kenya, ndio maana wenyeji wanaoishi maeneo hayo kule vijijini wanaliwa na funza kwenye karne hii. Ningekuekea hadi na video ya funza wanavowahangaisha wanakijiji maeneo ya Wilaya ya Rungwe, Mbeya, Kenya. Ila video yenyewe inatamausha kwa hivyo sioni point.
 
Acha kupanick, Mbeya, Mwanza na Moshi zote zipo Kenya, ndio maana wenyeji wa maeneo hayo wanaliwa na funza kwenye karne hii. Ningekuekea hadi na video ya funza wanavowahangaisha wanakijiji maeneo ya Wilaya ya Rungwe, Mbeya, Kenya. Ila video yenyewe inatamausha kwa hivyo sioni point.
Hakuna kitu kama hicho, just accept the truth and improve, hao watoto wanapata shida sana sababu ya Ubinafsi wa viongozi wanafanya wengine wanaishi kwenye ufukara wa namna hiyo, halafu inasemekena mamilioni ya wakenya wako kwenye hali hiyo ya funza,
So sad.
 
Poleni majirani zetu, kwanza inawapasa kuikubali hiyo hali, pili inawapasa muwajibike kuwainusuru jamii hiyo kwa hilo janga.
Mimi kazi zangu zinanizungusha Tanzania yote mijini na vijijini na hakuna sehemu yenye funza kwa kiasi hiki.
Tatizo la majirani zetu Ardhi yote mumewauzia makabaila hivyo kizazi cha sasa hakina ardhi ya kuweza kuishi kwa nafasi.
Badala yake sasa familia nyingi masikini zinajikuta zikiishi kwenye maongamano na vumbi bila kuwa na sehemu nyingine ya kuhamia kwa ghalama nafuu.
Sera ya Ardhi ya Kenya itawapa taabu sana baadae, wengi mtaishi maisha ya ufukara uliokithiri.
Very true, japo huenda ikawa bado ni changamoto, Kenya ni nchi ndogo sana kwa eneo, karibu nusu ya Tanzania na idadi ya watu karibu inalingana, Imagine,
Labda serikali pia ingefanya jambo kwenye suala la makazi ya hawa wananchi maskini,
Makazi duni ndio chanzo cha maradhi ya Funza.
 
Hakuna kitu kama hicho, just accept the truth and improve, hao watoto wanapata shida sana sababu ya Ubinafsi wa viongozi wanafanya wengine wanaishi kwenye ufukara wa namna hiyo, halafu inasemekena mamilioni ya wakenya wako kwenye hali hiyo,
So sad.
Hahaha! [emoji1] Wabongo mna maneno, mnajitia hamnazo eti hamuijui nchi yenu. Je unajua kwamba funza chimbuko lake ni South and Central America, na kwamba huwa wananawiri kwenye sehemu zilizo na mchanga wa aina flani? Mimi hapa sijawahi ona funza, ila najua wapo, maeneo kadhaa kule karibu na ziwa victoria na pia kule milimani. Naona unasema kwamba wapo nchi nzima eti na wanaishi sehemu zilizooza. Mungu wangu! [emoji15]
 
Hahahahahah nazid kudharau wakenya na kenya kwa ujumla...
 
Hahaha! [emoji1] Wabongo mna maneno, nchi yenu hata hamuijui. Je unajua kwamba funza chimbuko lake ni South and Central America, na kwamba huwa wananawiri kwenye sehemu zilizo na mchanga wa aina flani? Mimi hapa sijawahi ona funza, ila najua wapo, maeneo kadhaa kule karibu na ziwa victoria na pia kule milimani.
Relax bro? No one is laughing at you by the way, hilo ni Janga la kitaifa kwa Kenya, hao watoto ndio waathirika na wanakosa masomo na ukuaji, wanakuwa stunted and they significantly lose their cognitive capabilities, you have to fight this, no need to be defensive.
Serikali isiishie kujenga interchange Nairobi pekee, ni muhimu kuinua maisha ya wakenya huko mashinani.
 
Eti ngamia wanacheka nundu za ng'ombe wale. Wakenya huwa hatufumbii macho shida zetu, juhudi za kuangamiza funza zilanza kwa kasi miaka kadhaa iliyopita.
815630.png
Huyo hapo ni Mama ngina na mjukuu wake Ngina Kenyatta na aliyekuwa Miss Kenya Cecilia Mwangi ambaye ndiye aliyeanza kampeni za kuangamiza funza miaka zaidi ya kumi iliyopita.
788856.png
1669970.jpg
Aliyekuwa Miss Kenya Cecilia Mwangi na Dr.Stanley Kamau na shirika lao la Ahadi Kenya Trust walianza juhudi za kuangamiza funza na baadaye wakaanza kupata ufadhili wa Wizara ya Afya. Wameangamiza, wakagawa madawa ya kuangamiza na viatu 20mil+ vya kuzuia uvamizi wa funza kwenye maeneo ambao funza wananawiri.
 
Upande wa pili nao kule Mbeya wanakenua kenua tu na kufumba macho yao. Huku wanakijiji wakihama kutoka vijiji vyao, sababu zao ni eti uvamizi wa funza ni uchawi. Serikali ya Tz nayo kama kawa ni kuwanyamazisha wanahabari wanaoripoti kuhusu shida kama hizo. Ona habari hizi kutoka Mbeya. Funza Wavuruga Maisha Ya Wanakijiji Rungwe, Mbeya- IPP MEDIA Jombaa game over ukimaliza kutizama hiyo video yako ya miaka iliyopita na kusoma hizo za Mbeya, pitia pitia hizi habari hapa chini. Reign of jiggers on its last leg in Murang'a Ujionee mafanikio ya kweli kwenye vita dhidi ya funza Kenya. Utaona hapo kwamba kampeni yenyewe haikuisha kwenye funza pekee yake, bali waliokuwa wameathirika hapo awali waliwezeshwa kiuchumi pia, kupitia miradi iliofanikisha wao kubuni vyanzo vya ziada vya kujiongezea mapato.
 
Relax bro? No one is laughing at you by the way, hilo ni Janga la kitaifa kwa Kenya, hao watoto ndio waathirika na wanakosa masomo na ukuaji, wanakuwa stunted and they significantly lose their cognitive capabilities, you have to fight this, no need to be defensive.
Serikali isiishie kujenga interchange Nairobi pekee, ni muhimu kuinua maisha ya wakenya huko mashinani.
Asante Sana
 
Upande wa pili nao wanakenua kenua tu na kufumba macho yao. Huku wanakijiji wakihama kutoka vijiji vyao, sababu zao ni eti uvamizi wa funza ni uchawi. Serikali nayo kama kawa ni kuwanyamazisha wanahabari wanaoripoti kuhusu shida kama hizo. Ona hizi habari. Funza Wavuruga Maisha Ya Wanakijiji Rungwe, Mbeya- IPP MEDIA

Developed contry na funza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hii ni ya kuficha kwa matumizi maalumu.

5ml peples,sidhani kama unakosa,uliishaliwa na funza wewe.
 
Developed contry na funza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hii ni ya kuficha kwa matumizi maalumu.

5ml peples,sidhani kama unakosa,uliishaliwa na funza wewe.
Eti 5mil. Wewe fata umbea na kiingereza chako cha kuaigizia maandazi. Hao funza ambao wanakijiji wa Itete Rungwe, Mbeya wanasema wamewavamia kwa sababu za kiuchawi labda waliletwa na mchawi kutoka Kenya. Hahaa! [emoji1]
 
Hehehe, na wewe ni Muathirika wa Funza nini?
 
Back
Top Bottom