Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Bado kuna hadithi nyingine ambayo iliondolewa kule google .mwanamke alitolewa funza nyingi sana mwilini.wanadhani hatujui chochote kuhusu tz. Acha waendeleze unafiki ila ukweli tunaujua.Wewe unazijua longolongo za wabongo ama unazisikiaga tu? Jiggers wreak havoc in Mbeya rural communities Soma habari hizi hapa kutoka kwa wanahabari wa kitanzania, kuhusu funza ambao waliwafanya wanakijiji wa Itete, Wilaya ya Rungwe maeneo ya Ml. Rungwe kule MBEYA, nadhani ni nchini Kenya, wahame kutoka kwa vijiji vyao kwasababu ya imani yao kwamba funza ni uchawi.
Akili yako ina funza!Ndio maana hizo habari nilizokuekea hapo za wanakijiji wakihama kutoka kwa kijiji chao, kule Kijiji cha Itete, maeneo ya Ml. Rungwe, Wilaya ya Rungwe, Mbeya kwasababu ya funza, nimekuambia mapema kwamba ni za Kenya na sio Tanzania. Alafu hao wakenya wamenishangaza sana, wanasema walivamiwa na funza kwasababu ya uchawi.
Kweli kabisa, funza kama hawa ambao maceleb wenu wa Big Brother walikuwa wanawatoa kutoka kwa watoto waliovamiwa nao kule Moshi, Kenya.Akili yako ina funza!
Niliwahi kuwa nao kipindi nikiwa nakaa kijijini yaani we acha tu tena hasa kutokana na kukaaa kwenye nyumba isiyo sakafiwa,kutembea pekupeku, n.kTazama video ya Kusikitisha,Africans tuna safari ndefu bado.
Tazama.
Ministry of international affairs should strictly put a ban to Kenyans from entering Tanzania without the medical certificate of jiggers free approval
They will be smuggling jiggers into the country this matter should be serious to all Kenyan borders and airports
LdcKweli kabisa, funza kama hawa ambao celeb wenu wa Big Brother alikuwa anawatoa kutoka kwa watoto waliovamia nao kule Moshi, Kenya.Tanzanian Big Brother stars fight jiggers in MoshiSoma hapo ujionee mwenyewe walivosema kwamba funza ni janga kuu kule mashinani Moshi, Kenya. Huyo mrembo aliyechuchumaa hapo kando ni Cecilia Mwangi aliyekuwa Miss Kenya na alileta kampeni yake ya kuangamiza funza hadi huko huko Moshi, Kenya.
Hujakosea, hapo Moshi, Kenya(Kilimanjaro yetu pia ipo maeneo hayo) ni LDC.
One of indicator ni funzaHujakosea, hapo Moshi, Kenya(Kilimanjaro yetu pia ipo maeneo hayo) ni LDC.
Hawa watoto wakizungu waliandamana na wazazi wao kuja kuwasaidia masikini Mwanza, Kenya ila wao nao pia waliliwa na funza bila huruma.One of indicator ni funza
meseji zangu mbona hujibu mrembo?!Vikunya ni vikaragosi vya watu weupe walahi
Failed state, nothing works, funza kuwa ni janga la Taifa, aibu.Hujakosea, hapo Moshi, Kenya(Kilimanjaro yetu pia ipo maeneo hayo) ni LDC.
Nimecheka kwa sauti na ni usiku. Napenda unavyoeleza hadi mapovu yanawatoka hususan yule bongolala was kuharahara geuza ulaleHawa watoto wakizungu nao waliandamana na wazazi wao kuja kuwasaidia masikini Mwanza, Kenya ila nao pia wakaliwa na funza bila huruma.https://themongers.blogspot.com/2014/03/jiggers-in-feet-and-jiggling-with-diocese.html
Huyu aliwashwa sana baada ya kuambia mkewe mulisaa akatibiwe.meseji zangu mbona hujibu mrembo?!
Endelea kuokoteza habari za hapa na pale, but kwa karne hii haya mambo ndio nayaskia Kenya, Shame.Hawa watoto wakizungu waliandamana na wazazi wao kuja kuwasaidia masikini Mwanza, Kenya ila wao nao pia waliliwa na funza bila huruma.https://themongers.blogspot.com/2014/03/jiggers-in-feet-and-jiggling-with-diocese.html
Niwakudharau tuDah, 5,million? Wengine ndio kutwa humu wanaimba middle income