Acha kupanick, Mbeya, Mwanza na Moshi zote zipo Kenya, ndio maana wenyeji wanaoishi maeneo hayo kule vijijini wanaliwa na funza kwenye karne hii. Ningekuekea hadi na video ya funza wanavowahangaisha wanakijiji maeneo ya Wilaya ya Rungwe, Mbeya, Kenya. Ila video yenyewe inatamausha kwa hivyo sioni point.Endelea kuokoteza habari za hapa na pale, but kwa karne hii haya mambo ndio nayaskia Kenya, Shame.
Hakuna kitu kama hicho, just accept the truth and improve, hao watoto wanapata shida sana sababu ya Ubinafsi wa viongozi wanafanya wengine wanaishi kwenye ufukara wa namna hiyo, halafu inasemekena mamilioni ya wakenya wako kwenye hali hiyo ya funza,Acha kupanick, Mbeya, Mwanza na Moshi zote zipo Kenya, ndio maana wenyeji wa maeneo hayo wanaliwa na funza kwenye karne hii. Ningekuekea hadi na video ya funza wanavowahangaisha wanakijiji maeneo ya Wilaya ya Rungwe, Mbeya, Kenya. Ila video yenyewe inatamausha kwa hivyo sioni point.
Very true, japo huenda ikawa bado ni changamoto, Kenya ni nchi ndogo sana kwa eneo, karibu nusu ya Tanzania na idadi ya watu karibu inalingana, Imagine,Poleni majirani zetu, kwanza inawapasa kuikubali hiyo hali, pili inawapasa muwajibike kuwainusuru jamii hiyo kwa hilo janga.
Mimi kazi zangu zinanizungusha Tanzania yote mijini na vijijini na hakuna sehemu yenye funza kwa kiasi hiki.
Tatizo la majirani zetu Ardhi yote mumewauzia makabaila hivyo kizazi cha sasa hakina ardhi ya kuweza kuishi kwa nafasi.
Badala yake sasa familia nyingi masikini zinajikuta zikiishi kwenye maongamano na vumbi bila kuwa na sehemu nyingine ya kuhamia kwa ghalama nafuu.
Sera ya Ardhi ya Kenya itawapa taabu sana baadae, wengi mtaishi maisha ya ufukara uliokithiri.
Hahaha! [emoji1] Wabongo mna maneno, mnajitia hamnazo eti hamuijui nchi yenu. Je unajua kwamba funza chimbuko lake ni South and Central America, na kwamba huwa wananawiri kwenye sehemu zilizo na mchanga wa aina flani? Mimi hapa sijawahi ona funza, ila najua wapo, maeneo kadhaa kule karibu na ziwa victoria na pia kule milimani. Naona unasema kwamba wapo nchi nzima eti na wanaishi sehemu zilizooza. Mungu wangu! [emoji15]Hakuna kitu kama hicho, just accept the truth and improve, hao watoto wanapata shida sana sababu ya Ubinafsi wa viongozi wanafanya wengine wanaishi kwenye ufukara wa namna hiyo, halafu inasemekena mamilioni ya wakenya wako kwenye hali hiyo,
So sad.
Relax bro? No one is laughing at you by the way, hilo ni Janga la kitaifa kwa Kenya, hao watoto ndio waathirika na wanakosa masomo na ukuaji, wanakuwa stunted and they significantly lose their cognitive capabilities, you have to fight this, no need to be defensive.Hahaha! [emoji1] Wabongo mna maneno, nchi yenu hata hamuijui. Je unajua kwamba funza chimbuko lake ni South and Central America, na kwamba huwa wananawiri kwenye sehemu zilizo na mchanga wa aina flani? Mimi hapa sijawahi ona funza, ila najua wapo, maeneo kadhaa kule karibu na ziwa victoria na pia kule milimani.
Asante SanaRelax bro? No one is laughing at you by the way, hilo ni Janga la kitaifa kwa Kenya, hao watoto ndio waathirika na wanakosa masomo na ukuaji, wanakuwa stunted and they significantly lose their cognitive capabilities, you have to fight this, no need to be defensive.
Serikali isiishie kujenga interchange Nairobi pekee, ni muhimu kuinua maisha ya wakenya huko mashinani.
Upande wa pili nao wanakenua kenua tu na kufumba macho yao. Huku wanakijiji wakihama kutoka vijiji vyao, sababu zao ni eti uvamizi wa funza ni uchawi. Serikali nayo kama kawa ni kuwanyamazisha wanahabari wanaoripoti kuhusu shida kama hizo. Ona hizi habari. Funza Wavuruga Maisha Ya Wanakijiji Rungwe, Mbeya- IPP MEDIA
Eti 5mil. Wewe fata umbea na kiingereza chako cha kuaigizia maandazi. Hao funza ambao wanakijiji wa Itete Rungwe, Mbeya wanasema wamewavamia kwa sababu za kiuchawi labda waliletwa na mchawi kutoka Kenya. Hahaa! [emoji1]Developed contry na funza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hii ni ya kuficha kwa matumizi maalumu.
5ml peples,sidhani kama unakosa,uliishaliwa na funza wewe.
Hehehe, na wewe ni Muathirika wa Funza nini?Eti 5mil. Wewe fata umbea na kiingereza chako cha kuaigizia maandazi. Hao funza ambao wanakijiji wa Itete Rungwe, Mbeya wanasema wamewavamia kwa sababu za kiuchawi labda waliletwa na mchawi kutoka Kenya. Hahaa! [emoji1]
Hapana, sio funza, ni uchawi. 😎Hehehe, na wewe ni Muathirika wa Funza nini?