VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

Akili ndogo sana hii. Ona aibu kuleta uongo kama huu. Jaribu lingine, watanzania hawadanganyike kiwepese hivyo.
Jpm viva
Ei3M0VQWAAA4S9L.jpg
 
Kwamba watu wanatakiwa kulala hapo hapo ndio video ya kweli au
Hapo wanaondoka baada ya mkutano kwisha lakini nyinyi mmeweka sauti ya Rais on the background!!
 
Roho mbaya haijengi hata Siku moja ,Watawala muwe mnajitathmini.
 
Hapo wanaondoka baada ya mkutano kwisha lakini nyinyi mmeweka sauti ya Rais on the background!!

Mkuu ,Mwenyekiti wako anajua hapendwi mpaka anafikia hatua ya kupiga Magoti badala ya Pushapu.Sasa wewe endelea kukaza.
 
Back
Top Bottom