VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

CCM ndiyo mkome kutumia wasanii...hii iwe fundisho kwenu!!

Maisha ya ujanja ujanja hayapo duniani.
 
Babu Polepole
Babu Polepole!
FaceApp_1601615101558.jpg
 
Aisee! Aibu ya mwaka huyu mzee mwenye nyota ya nguruwe. Hatakiwi.
 
Hapo wanaondoka baada ya mkutano kwisha lakini nyinyi mmeweka sauti ya Rais on the background!!

Tupe ww basi video ya ukweli
Na swali lingine kwani ni vibaya Watu kuondoka?
 
Uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Mwaka Huu vijana wa Chadema mtajinyonga sana
Ndo nyie wafuasi wa Gwajima mmeona hadi video mtu anakula tunda alafu mnakuja kuamini eti mkono wa baunsa
 
Polepole ni mnafki mwenye nia njema kwa taifa
 
Maskini CCM inaangamizwa na huu ubunifu hafifu.
 
Polepole hamjui jiwe vzr, kapewa hela ya manujuzi madiwani na wabunge upinzani & kapewa hela ya wasanii...kasonda

Sasa subiri ageukwe...maana hela imeliwa ila matokeo chanya hamna.

Watajuana wenyewe....Go Lissu goooo
 
Hapo wanaondoka baada ya mkutano kwisha lakini nyinyi mmeweka sauti ya Rais on the background!!
Upo sahihi mkuu, hawa vijana wanadhani kuna wajinga wataoamini video kama hizi zinazoonekana kuwa edited kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom