Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

Voltaire

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
1,231
Reaction score
1,189
Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa.
Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana.

Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!

Kwa kweli watu wana roho ngumu, kama Hamas wangeachia mateka halafu Israel ikaendelea na madhambulizi tungesema hawa jamaa Kuna kitu kingine wanakitafuta, ukichezea nchi kama USA, Israel Rusia ukateka watu wake hawezi kukuacha.
 
Badala ya kuandamana free Palestina tuandamane ili Hamas iachie mateka ili kustisha uuaji huo, hiyo ni hatari, Israel hawezi kukubali ushauri wa kustisha mapigano, na endapo hao mateka watafia mikononi mwa hamasi, basi Israel watapata uhalali wa kuendelea na uuaji
 
Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa.
Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana.

Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!

View attachment 2808911
hiyo sio Gaza, ni uturuki, hao ni mainjinia waliojenga vibaya majengo yaliyoharibika kipindi kile cha tetemeko.
 
Hapa Wanaouwawa ni Hamas au Israeli?
 
huyu anapiga mayowe hapo, si aende gaza akapigane? au akasaidie mazishi ya magaidi. raia wasio na hatia sasaivi karibia wote wameondoka north gaza, nasikiliza hapa Biden amekubaliwa na israel kwamba kila siku kwa wiki nzima kutakuwa na cease fire ya masaa 4 tu kwa siku kwa ajii ya raia wanaotaka kuondoka kutoka north gaza (wale waliobaki), masaa mengine kipigo hadi kesho yake. na hapo hamas najua watajichanganya wachache kujifanya raia ila uzuri ni kwamba israel watabaki pale Gaza kaskazini kwa miaka mingi sana.
 
Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa.
Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana.

Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!

View attachment 2808911
OCTOBER 07 WALIFUATA NINI.
TUNAJIFUNZA TUSIANZISHE VITA KWA KUBEEP MAANA KUNA WATU DUNIANI HAWACHOKOZWI.
NB: DINI YA KIISLAMU HAIJAWAHI KUA NA UVUMILIVU NDIO MAANA DARFUR NA GAZA WANAUANA KUUJUA UISLAMU NA WAISLAMU NA KUPENDA KWAO GHASIA VITA NA FUJO NA UBAGUZI SOMA KITABU CHAO CHA MUONGOZO
QUR'AN 8:60
QUR'AN 22:16.
KWA UCHACHE
 
Ukiweza kuepuka/kuepusha shari basi fanya hivyo
 
Ukiweza kuepuka/kuepusha shari basi fanya hivyo
nina uhakika Hamas hawakutarajia hiki kilichotokea, kama wangekuwa wametarajia wasingeanzisha hii vita. naona hata hezbollah wanaingiza mguu na kutoa manake wanajua sasaivi majengo yetu yatakuwa vumbi kama gaza. hezbollah walipiga mkwara kwamba israel ikiingia tu gaza wao wataingia vitani, ila wamepoa sana. hamas walijua wakianzisha vita na kwasababu wanayo mateka, basi vita itapigwa kwa wiki kadhaa, israel itaua wengi na dunia itapiga kelele dhidi ya israel na israel itasitisha mapigano aidha kwa kubadilishana mateka au kwa kelele za mataifa mengine.

sasa israel akatoa amri raia watoke kaskazini, wametoka karibia wote na waliobaki wamesema kuanzia kesho kutakua na cease fire ya masaa manne kila siku kuruhusu raia kuondoka, pale watabaki hamas peke yake (kule kaskazini) na wakibaki, hakutakuwa na sababu ya cease fire tena, iran hatakua na uwezo kuwapa siala, watatumia silaha zote, watatumia chakula chote, maji yalishakatwa, umeme hakuna, majenereta kupeleka hewa kwenye mahandaki yatakuwa hamna mafuta, hivyo hamas watajisalimisha na watafutwa kabisa. walipiga mahesabu vibaya sana.

hapo sasa, hata zile hospitali za Gaza hazitakuwa salama tena kwasababu watu wanaotakiwa kutibiwa wameenda kusini, wafanyakazi watatakiwa kuondoka, UN pia watatakiwa kuondoka kwasababu pale raia hawapo napameshakuwa eneo la vita.
 
hiyo sio Gaza, ni uturuki, hao ni mainjinia waliojenga vibaya majengo yaliyoharibika kipindi kile cha tetemeko.
Hapana mkuu, hii video ipo kwenye documentary moja youtube na ina miaka 6 au zaidi. Hii ni ile kipindi ya isis huko syria. Kwa mujibu wa hiyo doc , hilo eneo hapo lilikuja kufukuliwa kwa kuwa ilikuwa ni mass grave. Ngoja nikusachie hiyo docmentary then ujionee mwenyewe.
 
Ila Israel ana hasira si mchezo.
Maisha yanatakiwa yawe ivyo, hatujaja duniani kuchekeana chekeana apa. Israel anafanya kitu ambacho mwenye kutaka haki anatakiwa afanye. Sio unipige ngumi mbele za watu ambao unajua watakutetea. Dawa unamnyooosha mpaka mashabiki waseme jamaaa mnyama
 
Kwa kweli watu wana roho ngumu, kama Hamas wangeachia mateka halafu Israel ikaendelea na madhambulizi tungesema hawa jamaa Kuna kitu kingine wanakitafuta, ukichezea nchi kama USA, Israel Rusia ukateka watu wake hawezi kukuacha.
Sasa piga hao wanamgambo sio kuua wanawake na watoto ambao hawana hili wala lile
 
Tunajifunza Yabidi Tuendelee Kuona Vifo Vingi ili Tuijue Thamani ya Uhai
 
Back
Top Bottom