hiyo sio Gaza, ni uturuki, hao ni mainjinia waliojenga vibaya majengo yaliyoharibika kipindi kile cha tetemeko.Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa.
Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana.
Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
View attachment 2808911
Hapa Wanaouwawa ni Hamas au Israeli?Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa.
Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana.
Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
View attachment 2808911
Kumbe! aisee kuna misinformation Sana mitandaonihiyo sio Gaza, ni uturuki, hao ni mainjinia waliojenga vibaya majengo yaliyoharibika kipindi kile cha tetemeko.
huyu anapiga mayowe hapo, si aende gaza akapigane? au akasaidie mazishi ya magaidi. raia wasio na hatia sasaivi karibia wote wameondoka north gaza, nasikiliza hapa Biden amekubaliwa na israel kwamba kila siku kwa wiki nzima kutakuwa na cease fire ya masaa 4 tu kwa siku kwa ajii ya raia wanaotaka kuondoka kutoka north gaza (wale waliobaki), masaa mengine kipigo hadi kesho yake. na hapo hamas najua watajichanganya wachache kujifanya raia ila uzuri ni kwamba israel watabaki pale Gaza kaskazini kwa miaka mingi sana.
OCTOBER 07 WALIFUATA NINI.Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa.
Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana.
Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
View attachment 2808911
nina uhakika Hamas hawakutarajia hiki kilichotokea, kama wangekuwa wametarajia wasingeanzisha hii vita. naona hata hezbollah wanaingiza mguu na kutoa manake wanajua sasaivi majengo yetu yatakuwa vumbi kama gaza. hezbollah walipiga mkwara kwamba israel ikiingia tu gaza wao wataingia vitani, ila wamepoa sana. hamas walijua wakianzisha vita na kwasababu wanayo mateka, basi vita itapigwa kwa wiki kadhaa, israel itaua wengi na dunia itapiga kelele dhidi ya israel na israel itasitisha mapigano aidha kwa kubadilishana mateka au kwa kelele za mataifa mengine.Ukiweza kuepuka/kuepusha shari basi fanya hivyo
🤣🤣😂😂Ila Israel ana hasira si mchezo.
KabisaAisee hawa jamaa hawatakuja kuelewana kamwe
Hapana mkuu, hii video ipo kwenye documentary moja youtube na ina miaka 6 au zaidi. Hii ni ile kipindi ya isis huko syria. Kwa mujibu wa hiyo doc , hilo eneo hapo lilikuja kufukuliwa kwa kuwa ilikuwa ni mass grave. Ngoja nikusachie hiyo docmentary then ujionee mwenyewe.hiyo sio Gaza, ni uturuki, hao ni mainjinia waliojenga vibaya majengo yaliyoharibika kipindi kile cha tetemeko.
Maisha yanatakiwa yawe ivyo, hatujaja duniani kuchekeana chekeana apa. Israel anafanya kitu ambacho mwenye kutaka haki anatakiwa afanye. Sio unipige ngumi mbele za watu ambao unajua watakutetea. Dawa unamnyooosha mpaka mashabiki waseme jamaaa mnyamaIla Israel ana hasira si mchezo.
Sasa piga hao wanamgambo sio kuua wanawake na watoto ambao hawana hili wala lileKwa kweli watu wana roho ngumu, kama Hamas wangeachia mateka halafu Israel ikaendelea na madhambulizi tungesema hawa jamaa Kuna kitu kingine wanakitafuta, ukichezea nchi kama USA, Israel Rusia ukateka watu wake hawezi kukuacha.