Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

Umeelezea vizuri Sana
 
Labda itokee kwa bahati mbaya sana. Upekuzi wa kina utafanyika ili kuwachuja. Na bado hata huko watakako hifadhiwa kutakuwepo na ufuatiliaji.
 
Kwa kweli watu wana roho ngumu, kama Hamas wangeachia mateka halafu Israel ikaendelea na madhambulizi tungesema hawa jamaa Kuna kitu kingine wanakitafuta, ukichezea nchi kama USA, Israel Rusia ukateka watu wake hawezi kukuacha.
West Bank kuna Hamas? Mbona kuna mauaji kila siku, kwa hiyo Israel yeye hana haki ya kuuwa watoto na wanawake na kubomoa shule makazi ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…