kama ilivyo kwa lisu alivyokua akitetea mabeberu ili nchi ifilisiweTanzania ilibarikiwa vingi sana isipokuwa akili. Na hakuna umasikini mbaya kama wa akili.
Hapo kuna Mawakili wasomi wako upande wa Jamhuri kutaka Lissu apatikane na hatua ya mchongo, na anyongwe. Hakuna akili hapo.
Lissu alikuwa sahihi. Kama mnafanya mambo ya kipumbavu na anawashauri njia nzuri ya kutatua hiyo changamoto, ila hamsikilizi ushauri wake afanyeje?kama ilivyo kwa lisu alivyokua akitetea mabeberu ili nchi ifilisiwe
Hebu lete sehemu ya ushahidi wako ili tuamini na sio kumsingizia kisa unachuki nae.kama ilivyo kwa lisu alivyokua akitetea mabeberu ili nchi ifilisiwe
litanyongwa hilo haini lenuHebu lete sehemu ya ushahidi wako ili tuamini na sio kumsingizia kisa unachuki nae.