Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Wenye laana wameshika kwenye mpini.
Wenzenu wameamua kuwa wahuni nyie mpo siyo haki siyo sawa endeleeni hivyo hivyo nakutaka haki wakati wenzenu wameamua uhuniHali ya mvutano imetokea baina ya mawakili wa Jamhuri na baadhi ya mawakili wa upande wa Tundu Lissu, pamoja na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakigombea sehemu ya kukaa ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Mvutano huo ulijitokeza baada ya Jaji kutoa mapumziko ya dakika 30, ambapo pande hizo zilianza kutupiana maneno kufuatia kutokuelewana kuhusu mpangilio wa viti ndani ya ukumbi huo.
Tofauti na siku nyingine ambazo kesi hiyo imekuwa ikiendelea, leo idadi ya wafuasi na wafuatiliaji ilikuwa ndogo, wengi wakiwa ni mawakili wa pande zote mbili na baadhi ya maofisa wa Mahakama. Wanachama na viongozi wa CHADEMA waliokuwa wakifuatilia kesi hiyo walionekana kuwa wachache zaidi kuliko siku za nyuma.
Waislamu ndiyo wasio na akili sawa na wanawakeTanzania ilibarikiwa vingi sana isipokuwa akili. Na hakuna umasikini mbaya kama wa akili.
Hapo kuna Mawakili wasomi wako upande wa Jamhuri kutaka Lissu apatikane na hatua ya mchongo, na anyongwe. Hakuna akili hapo.
Na Kiongozi wa Bongolala ni Mwislamu halafu ni Mwanamke. Shida ni kubwa kweli kweli.Waislamu ndiyo wasio na akili sawa na wanawake
Wewe ni mfano mzuri sana wa hao waTanzania wasiokuwa na kitu kichwani anao waongelea huyo uliye mjibu; pamoja na kwamba sikubaliani naye kuwahusisha waTanzania wote.kama ilivyo kwa lisu alivyokua akitetea mabeberu ili nchi ifilisiwe
Labda anyongwe Samia ila Lissu hakuna na hajatokea wa kumnyonga.litanyongwa hilo haini lenu
Huwa nawaza wabongo wangekua wanamiliki silaha hovyo kama USA kuna uonevu ungepungua sana.How I wish a nigga would…..