Video: Mawakili wakizichapa ngumi wakati wa mapumziko kesi ya Tundu Lissu

Ile kuvumiliana Tanzania imekwisha,kuna jambo la tofauti linakuja sasa
 
Wenzenu wameamua kuwa wahuni nyie mpo siyo haki siyo sawa endeleeni hivyo hivyo nakutaka haki wakati wenzenu wameamua uhuni
 
Tanzania ilibarikiwa vingi sana isipokuwa akili. Na hakuna umasikini mbaya kama wa akili.

Hapo kuna Mawakili wasomi wako upande wa Jamhuri kutaka Lissu apatikane na hatua ya mchongo, na anyongwe. Hakuna akili hapo.
Waislamu ndiyo wasio na akili sawa na wanawake
 
Sasa tunaanza kuelewana, kuanzia jeshini, walio ktk mfumo wa haki jamii hadi wananchi kuanza uasi
 
..wakili aliyempiga mwenzake alipaswa kuondolewa mahakamani, na kuchukuliwa hatua za kinidhamu, na kisheria.
 
kama ilivyo kwa lisu alivyokua akitetea mabeberu ili nchi ifilisiwe
Wewe ni mfano mzuri sana wa hao waTanzania wasiokuwa na kitu kichwani anao waongelea huyo uliye mjibu; pamoja na kwamba sikubaliani naye kuwahusisha waTanzania wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…