Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ndio demokrasia bwana!! inabidi uwe na ngozi ngumu kama ya mh Prezida kule Kagera! Lakini mbona kama wamelewa chakari?
 
Vijana wahuni wa CCM wakiimba hawamtaki Mbowe kuna ajabu gani hapo....?
Waangalie vizuri hao ndio waliompigia kura awamu iliyopita. Kwa style hii naona bora atafute shughuli nyengine ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…