Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Kukosa busara ni kitu kibaya sana.
Tunajua wazi kuwa hawamtaki maana hao ni ccm. Sasa hayo maandamano yalikuwa na kibali?
Je sheria inasemaje kwa mtu/watu wanaovuruga kampeni za mgombea wa chama kingine?
Je Jeshi la polisi wamewachukulia hatua gani waandamanaji?

Serikali isipokomesha hii tabia itazaa makundi ya uhalifu ambayo yatajivicha chini ya wakereketwa wa ccm, kumbe ni wezi.

Sabaya anajitafutia matatizo ambayo yatakapo msibu, hata hiyo ccm na waliomtuma hawataweza kumsaidia.
 
Hawa wahuni unaweza kukuta Sabaya kuwapa elfu 20 tu ndo wanafanya huo upuuzi. Walichopanda watakivuna
 
Watz hawantaki magufuli.... Hiyo ya Mbowe ni maigizo ya misukule ya ccm ilitolipwa buku7
 
Sabaya yuko nyuma ya hiyo hujuma,msiwachekee hao vijana ni vizuri mkajibu mapigo.

Saa ya Ukombozi siyo lelemama anayekuja usawa wako vibaya mpe haki yake.
 
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Genge la political mercenaries lililokodiwa na afisa kipenyo wa Hai.

Poor political strategies
 
Meko ajiandae kuzomewa huko Mbeya tarehe 28/09.

Asije akalia tuu
 
Sasa hao vijana wa CCM wakiimba hawamtaki kuna ajabu gani?Yaani CCM aimbe kuwa hamtaki mpinzani kisha iwe ni ajabu?!
Mbona kuna uzi humu mlikuwa mnaona ajabu wafuasi wa chadema wamemzomea Magu Kagera?
 
We umeona kuna kijana wa CCM hapo? Hao ni BAVICHA wamechachamaa tulieni.
Hao ni wahuni wa ccm waliolipwa na mkuu wa wilaya na hawatabadili chochote zaidi ya kuendekea kuwadanga nyie wapuuzi.
 
Back
Top Bottom