Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Mbona husemi Baba yenu alivyozomewa Bukoba,tarehe 28 uje na bandiko hili umuonyeshe mkuu wa wilaya ya Hai
 
Sio vema kutumia umaarufu pekee kusema eti ndio iwe turufu ya kuchaguliwa wewe tu bila hata ya kuwahudumia wananchi sawa na ulivyowaahidi,

Lakini pia sio vema Kwa mwananchi kufanya fujo za kumzomea mgombea, badala yake ni mwananchi kumkataa mgombea kwenye Sanduku la kura, tuitumieni hii njia
 
Nchi nzima zomeazomea ipo jimbo la Hai tu. TL alivyoenda hai alikutana na Zomeazomea. Hiyo ni mipango ya Watu walioishiwa mbinu.
 
MaCCM tumeni akili, wakati umebadilika sana, mambo yenu ya kuvuruga mikutano ya chadema kwa fujo na kurusha mawe kwa Lissu, inawaondolea kukubalika kwa watu wenye akili zao timamu, na mnaiweka CCM ya Magufuli shimoni hivyo.
Kubalini tu muda umewatupa mkono. Jipangeni kama mnataka kukubalika.
CCM bye bye..!
 
Back
Top Bottom