Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

[SUP]Ujinga ûjinga ujinga[/SUP]
[SUP]....[/SUP]
 
Sabaya watu wanamuangalia tu , siku zake zimebaki kitambo kidogo tu
 
Wafanya vurugu hawa hapa

This is the most illiterate, misogynist and misguided person in the whole country and his mission has been to sabotage Mbowe from day one. He is paying some goons TZS 20,000 per person to create some havoc during this electioneering phase. We shall overcome.
 
Angalia hili Kamongo jingine! Bagonza hakukosea kushangaa kwamba Ujinga umetamalaki nchini kupita kiasi miaka hii pamoja na kuwa tuna vyuo vikuu vingi ukilinganisha na tulipokuwa na UDSM tu.

Tulia dawa iwaingie kunako.
 
Angalieni hili ZWAZWA jingine la lumumba!

Mkuu usihamaki kama unaweza wasiliana na watu wa Lyamungo Sinde, Uswaa, Uduru, Mbatakero Machame South.

Majibu utakayo pata usiandike hapa, ila utafahamu wakati mgumu sana anao pitia Mwamba uchaguzi huu.

Ukihitaji zaidi nitakupa reliable contacts za hayo maeneo katika inbox yako.
 
Who are you by the way?
 
Kale ka-DC kashamba ka Hai nadhani kakuponda hiyo kichwa wamekaacha sana watu wa Hai ustaarabu umezidi.
 
M
Hahah endeleeni tu kujifariji! Mwenyekiti wenu hana chake huko Hai! Maskini DJ ndo mana yupo kimya sana!
Mbona niko huku migombani hayo ni kikundi tu cha ccm saashisha mafuwe atasubiri sana ngoja kaka aje
 
Wa CCM akiimba hampendi mpinzani hakuna cha ajabu, ajabu itakuwepo kama mpinzani ataimba kuwa anampenda wa CCM liChama lililooza linanuka kama Skunk ndo maana hata wakati huu wa kampeni wanachama wake hawaonekani wamejazana mitaani wamevaa kijani kama zamani, wanaona aibu kujitambulisha na liChama hilo. Skunk ni mnyama wa kule Marekani akisitushwa anatoa ushuzi wenye harufu kali sana kumfukuza aliyemtishia maisha ambaye atakimbiwa na kila atakayemkaribia mpaka atakapooga. Kaa chonjo na CCM!
 
Kale ka-DC kashamba ka Hai nadhani kakuponda hiyo kichwa wamekaacha sana watu wa Hai ustaarabu umezidi.
Wananchi wa Hai hawamtaki Mbowe lazima mkubali ukweli huo! Ingekuwa wana Hai wengi wanampenda Mbowe sidhani kama wangekuwa wanavunja mikutano yake kila mara. Lazima mkubali hali halisi Mbowe hana lake Hai mwaka huu achani kumsingizia DC.
 
Wewe inaonekana upo kwa mabwana zako unabeba mabox.
 
Hall hii ikizidi ghasia zitaanza, haya mambo sio ya kufumbia macho.
 
Wananchi wa Hai hawamtaki Mbowe lazima mkubali ukweli huo! Ingekuwa wana Hai wengi wanampenda Mbowe sidhani kama wangekuwa wanavunja mikutano yake kila mara. Lazima mkubali hali halisi Mbowe hana lake Hai mwaka huu achani kumsingizia DC.
Sasa kama hawamtaki si wamkatae kwenye sanduku LA kura? Hyo ni vurugu.sio jambo La kushangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…