Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!



lakini mbowe ana afadhali yule jamaa mwenye mdomo mchafu ni vile alijificha kwenye gari maaana wangemuua na yale mawe,
 
Hao ni wahuni waliokodishwa na maccm.
Hata nyie ndani ya Chadm mmemchoka
NI Basi tu hamna pa kusemea pia mitandaoni mmeajiriwa nae kumpamba pamba Hivyo hata I'd zenu anazijua mnaogopa kumnanga
Lakini mmemchoka
 
Wengine tuna mapenzi ya kweli na Nchi yetu siyo kama MAZWAZWA nyinyi ambao mmeamua kujitoa ufahamu huku huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akipora 2.7 trillions hazina, akidhalilisha, kutesa na hata kuwaua Watanzania wasio na hatia, akifuja pesa za walipa kodi kwa maamuzi yasiyo na maslahi kwa Watanzania ikiwemo chato airport, kununua ndege zinazoingiza hasara ya trillions, kununua wanasiasa Malaya kisha kwa billions za walipa kodi.

Hata nyie ndani ya Chadm mmemchoka
NI Basi tu hamna pa kusemea pia mitandaoni mmeajiriwa nae kumpamba pamba Hivyo hata I'd zenu anazijua mnaogopa kumnanga
Lakini mmemchoka
 
Swali zuri kabisa la kujiuliza! Je kwa nini Hai tu? Hapa ni mambo mawili tu, wanamihemko au wanatumwa kwa ahadi ndogondogo. Sema mirungi Bomang'ombe inauzwa sana na inabakia, then inasafirishwa kwa pikipiki mpaka Mererani.
Wanapo kutanaga kupongezana kwa kasusu na mirungi, panafahamika pia, ni kwa makada wa ccm!
 
Back
Top Bottom