Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Anaendaa ushamba huo ni mshamba mnoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenyewe hata 200 hawazidi...!! Jina la JK la mfukoni... Litatufikisha pabaya.Sasa hao vijana wa CCM wakiimba hawamtaki kuna ajabu gani?Yaani CCM aimbe kuwa hamtaki mpinzani kisha iwe ni ajabu?!
Wamemchoka jamaniHapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Hata nyie ndani ya Chadm mmemchokaHao ni wahuni waliokodishwa na maccm.
Hata nyie ndani ya Chadm mmemchoka
NI Basi tu hamna pa kusemea pia mitandaoni mmeajiriwa nae kumpamba pamba Hivyo hata I'd zenu anazijua mnaogopa kumnanga
Lakini mmemchoka
Hahah endeleeni tu kujifariji! Mwenyekiti wenu hana chake huko Hai! Maskini DJ ndo mana yupo kimya sana!
Chadema watapingaHapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Wanapo kutanaga kupongezana kwa kasusu na mirungi, panafahamika pia, ni kwa makada wa ccm!Swali zuri kabisa la kujiuliza! Je kwa nini Hai tu? Hapa ni mambo mawili tu, wanamihemko au wanatumwa kwa ahadi ndogondogo. Sema mirungi Bomang'ombe inauzwa sana na inabakia, then inasafirishwa kwa pikipiki mpaka Mererani.