VIDEO: Mbunge aliyempongeza Diamond Platnumz

Status
Not open for further replies.
Da! Yan leo nimecheka sana ndio maana wanaficha tusione da! Shikamon CCM
 
Wasanii wenyewe ndo huwa wa kwanza kuwalalamikia cosota

Kwa hapo kawa mkweli
 
Huyo mbunge lengo lake ilikuwa ni kutia msisitizo kwa serikal kujal wasanii,its true Diamond kaitangaza sana Tanzania Duniani pengne kuliko msanii yeyote au mwanamichezo yeyote kwa kipindi hiki,sasa kwann Tanzania isimpe heshima..hivi mlishawahi kujiuliza Diamond ametuingizia pesa ngapi za kigeni kupitia show zake za nje,je ulishawahi kujiuliza kupitia kwa kampuni yake ya WASAFI ametoa ajira wa vijana wangapi?
 
Wewe sasa ume muelewa mkuu

Na ndo nncho bishana na watu apa, uyu jamaa kuna mengi kawa mkweli zaid ya machache ambayo wame capitalize na kumpinga
 
Sio kweli kama kaitangaza tz kuliko kitu chochote
 
kama michango yenyewe ndio hii bora lisiwe live tu!
 
Huyu si ndio muasisi wa baby huyu? yaani ikatolewe sanamu ya mtoto wa mjini Bisimini ambaye wote tumemkuta iwekwe ya Daimond kwasababu tu yeye ana mshabikia,ama bunge la sasa limefikwa na watu loh!
Hajakosea. Kasema ingekuwa amri yake. Mimi, wewe, mbunge na wengine wengi tunamfahamu Diamond. Wewe unamfahamu Bismini? Kwa taarifa yako sanamu hiyo ilibadilishwa baada ya vita ya Uganda. Nenda kapasome pale, ile kwa sasa ni kumbukumbu ya mashujaa wa vita ya Uganda.
 
Labda kwa msaada tu sanamu kama zile zinaitwa National Antique na zina thaminiwa sana na kama ukienda hata nchi za wenzetu utazikuta tena za miaka mingi nyingine toka karne ya 15 na hazibadilishwi kwa chochote hebu pekua kwanza dictionary upate kujua maana ya neno Antique,na pengine ni kufahamishe tu sanamu ile haija pata kubadilishwa iko vile vile na pale pale miaka yote sina hakika na unacho dai kime andikwa pale maana sija karibia kusoma, hiyo vita ya Uganda ilipo kwisha mimi nilisha kuwa kwenye ajira na safari za town nikiwa kijana zilikuwa hazinishi ibadilishwe nikiwa mji gani nisione, kweli? Sasa ndio ishuswe ile ipandishwe ya Daimond wala sio ya Marehemu Muhidini Gurumo,Kassim Mapili au Shem Kalenga.
 
Unachosema wewe kiko sawa. Nilikuwa najibu kikichozungumzwa na mchangiaji
 

Fedha za kigeni kupitia nini?hivi analioa hata kodi ya mapato kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…