John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
Keshasema mbona kuwa 2020 atachukua fomuMbunge kama huyu unaweza ukakuta yuko na ndoto za kuwa hata rais wa nchi..hovyo kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshasema mbona kuwa 2020 atachukua fomuMbunge kama huyu unaweza ukakuta yuko na ndoto za kuwa hata rais wa nchi..hovyo kweli!!
Na watanzania hamna hata hiyana mtampa kura zenu[emoji23] [emoji23]Keshasema mbona kuwa 2020 atachukua fomu
"......mapenzi yake kwa diamond yamepitiliza......"Hata mimi na mkubali diamond lkn huyu mbunge mapenzi yake kwa diamond yamepitiliza
Wewe sasa ume muelewa mkuuHuyo mbunge lengo lake ilikuwa ni kutia msisitizo kwa serikal kujal wasanii,its true Diamond kaitangaza sana Tanzania Duniani pengne kuliko msanii yeyote au mwanamichezo yeyote kwa kipindi hiki,sasa kwann Tanzania isimpe heshima..hivi mlishawahi kujiuliza Diamond ametuingizia pesa ngapi za kigeni kupitia show zake za nje,je ulishawahi kujiuliza kupitia kwa kampuni yake ya WASAFI ametoa ajira wa vijana wangapi?
Sio kweli kama kaitangaza tz kuliko kitu chochoteHuyo mbunge lengo lake ilikuwa ni kutia msisitizo kwa serikal kujal wasanii,its true Diamond kaitangaza sana Tanzania Duniani pengne kuliko msanii yeyote au mwanamichezo yeyote kwa kipindi hiki,sasa kwann Tanzania isimpe heshima..hivi mlishawahi kujiuliza Diamond ametuingizia pesa ngapi za kigeni kupitia show zake za nje,je ulishawahi kujiuliza kupitia kwa kampuni yake ya WASAFI ametoa ajira wa vijana wangapi?
Hii ndio Tanzania, moja ya nchi maskini sana duniani.Hii dunia haina usawa kabisa, majinias wapo wanasota mtaani ila bungeni wamejaa vilaza
Hajakosea. Kasema ingekuwa amri yake. Mimi, wewe, mbunge na wengine wengi tunamfahamu Diamond. Wewe unamfahamu Bismini? Kwa taarifa yako sanamu hiyo ilibadilishwa baada ya vita ya Uganda. Nenda kapasome pale, ile kwa sasa ni kumbukumbu ya mashujaa wa vita ya Uganda.Huyu si ndio muasisi wa baby huyu? yaani ikatolewe sanamu ya mtoto wa mjini Bisimini ambaye wote tumemkuta iwekwe ya Daimond kwasababu tu yeye ana mshabikia,ama bunge la sasa limefikwa na watu loh!
Labda kwa msaada tu sanamu kama zile zinaitwa National Antique na zina thaminiwa sana na kama ukienda hata nchi za wenzetu utazikuta tena za miaka mingi nyingine toka karne ya 15 na hazibadilishwi kwa chochote hebu pekua kwanza dictionary upate kujua maana ya neno Antique,na pengine ni kufahamishe tu sanamu ile haija pata kubadilishwa iko vile vile na pale pale miaka yote sina hakika na unacho dai kime andikwa pale maana sija karibia kusoma, hiyo vita ya Uganda ilipo kwisha mimi nilisha kuwa kwenye ajira na safari za town nikiwa kijana zilikuwa hazinishi ibadilishwe nikiwa mji gani nisione, kweli? Sasa ndio ishuswe ile ipandishwe ya Daimond wala sio ya Marehemu Muhidini Gurumo,Kassim Mapili au Shem Kalenga.Hajakosea. Kasema ingekuwa amri yake. Mimi, wewe, mbunge na wengine wengi tunamfahamu Diamond. Wewe unamfahamu Bismini? Kwa taarifa yako sanamu hiyo ilibadilishwa baada ya vita ya Uganda. Nenda kapasome pale, ile kwa sasa ni kumbukumbu ya mashujaa wa vita ya Uganda.
Unachosema wewe kiko sawa. Nilikuwa najibu kikichozungumzwa na mchangiajiLabda kwa msaada tu sanamu kama zile zinaitwa National Antique na zina thaminiwa sana na kama ukienda hata nchi za wenzetu utazikuta tena za miaka mingi nyingine toka karne ya 15 na hazibadilishwi kwa chochote hebu pekua kwanza dictionary upate kujua maana ya neno Antique,na pengine ni kufahamishe tu sanamu ile haija pata kubadilishwa iko vile vile na pale pale miaka yote sina hakika na unacho dai kime andikwa pale maana sija karibia kusoma, hiyo vita ya Uganda ilipo kwisha mimi nilisha kuwa kwenye ajira na safari za town nikiwa kijana zilikuwa hazinishi ibadilishwe nikiwa mji gani nisione, kweli? Sasa ndio ishuswe ile ipandishwe ya Daimond wala sio ya Marehemu Muhidini Gurumo,Kassim Mapili au Shem Kalenga.
Huyo mbunge lengo lake ilikuwa ni kutia msisitizo kwa serikal kujal wasanii,its true Diamond kaitangaza sana Tanzania Duniani pengne kuliko msanii yeyote au mwanamichezo yeyote kwa kipindi hiki,sasa kwann Tanzania isimpe heshima..hivi mlishawahi kujiuliza Diamond ametuingizia pesa ngapi za kigeni kupitia show zake za nje,je ulishawahi kujiuliza kupitia kwa kampuni yake ya WASAFI ametoa ajira wa vijana wangapi?
Usijali.Unachosema wewe kiko sawa. Nilikuwa najibu kikichozungumzwa na mchangiaji