Hilo ni tumbo la kawaida au ni mimba?Wakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
Hayo maji yangechanganywa na pilipili kidogo ili next time apunguze dhihaka kwa mwenyekiti wake wa CCMWakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
Kwanza njia ya ifakara to mahenge ilikua mbovu hatariAnaleta utani huko miaka na miaka kuko hivyo.
Kuna Mahenge/Ulanga
Wamelala kabisaaa usingizi.
atakua ana jipa adhabu za bure tu wallahKodi za Watanzania hizo mkuu.
Laki 6 kwa kila kila kikao cha bunge kama posho sio poa
Jina la Mbunge liko wapi?Wakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
CCM wana penda siasa za hadaa na ulaghai sana,siku zote alikuwa wapi, huyo wapige chini tu asiwafanye watu wajinga.Wakuu,