Pre GE2025 Video: Mbunge wa Malinyi Morogoro achafuka kama mtoto baada ya kutembea kwenye matope akishangaa kwanini jimbo lake lina miundombinu mibovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili nalo linatakiwa kuingia kwenye maajabu ya dunia, mbunge katika miaka minne hakuwahi kuona ubovu wa barabara za jimboni kwake ghafla mwaka wa tano anagundua ubovu wa barabara hizo.
 
Sasa yeye alikwenda kufanya nini huko uswenkeni huku akijua kuwa mvua zinanyesha, barabara ni mbovu na isitoshe huu ni mwaka wa uchaguzi? 🤔
 
Mbona kama staged kabisa maana alienda kuwaona Wananchi wake pensi hilo, kachagua nguo za show sio.
Ni aibu sana, tutaona "stages" nyingi sana ishina tano iishe hii 😅
 
Hivi kwanini ikikaribia chaguzi huwa wanajitoa ufahamu?
Kwanini anaingilia kazi za watu na kujifanya tandiboi?
Unaona kabisa kajichafua makusudi 😆 😂 😆 😂
Hawa watu wasanii sana
Ina maana na yeye anataka wa kumzungumzia bungeni ama
 
😄😄😄Hata mshipa wa aibu hawana hawa watu
 
Kama saivi wameanza kudumbukia kwenye matope, Bado kidogo viongozi wenu wataanza kula Mavi kipindi hiki Cha uchaguzi wakikagua vyoo.
 
Wakuu,

Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?

Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?

Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.

Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.

CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara

Ni mwaka wa uchafuzi lazima ajichafue ili apate kula
 
Hivi tz wapiga kura wake washaamka kwani
 
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hawa ndio daima wanasema mama kaupiga mwingi, sijui mwingi upi huo? Nchi iko taabani kila mahali
 
Kamdhalilisha sana Mhe Rais. Rais annamwaga mapesa kumbe Kuna maeneo hayasimamiwi vizuri. Matokeo yake ndo Mbunge mpuuzi kama huyu anaogolea kwenye tope kama Kambale.

Ukiona jitu linajinenepea kama toto la chekechea ujue kichwani ni tope tupu
 
Back
Top Bottom