Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu mpumbavu juzi si alisema Morogoro hawamdai chochote Rais kuhusu maendeleo! Kwamba maendeleo Morogoro ni 100 kwa 100. Pumbavu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo anafanya maigizo ajili ya uchaguziBado alikuwa na njia ya kutolowa na kujipaka matope
Njia aliyokuwa anataka kutumia inaitwa "Publicity" ili aonekane ni Mchapa Kazi na anafanya Kazi
Kitu Ambacho sio kweli na amejiharibia kwa kupata negative feedback
Election time goes hand in hand with campaign season and plenty of drama.Wakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
Vibaya hivyo😀Hilo ni tumbo la kawaida au ni mimba?
I miss you so much my ShemVibaya hivyo😀
Umenisusa😔I miss you so much my Shem
TumesusanaUmenisusa😔
Shubamit! Huyu ni miongoni mwa Wabunge wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanganyika.Wakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
Wamepewa daraja zuri na imara, na kupunguziwa vifo vya ajali mto Kilombero bado hajaridhika??. Mahenge-Ulanga mpaka hapo wamependelewa sana. Anajidhalilisha bure kujilowesha matope.Wakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
Mkuu unakijua ulichoandika?Kwa huo mwili Oestrogen inaproduziwa kwa wingi sana
Wewe ulielewa vp? Tuanzie kwakoMkuu unakijua ulichoandika?
Sijaelewa hapa, Unaweza kufafanuz zaidi Ndugu DeterminantorHayo maji yangechanganywa na pilipili kidogo ili next time apunguze dhihaka kwa mwenyekiti wake wa CCM