Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Hili nalo linatakiwa kuingia kwenye maajabu ya dunia, mbunge katika miaka minne hakuwahi kuona ubovu wa barabara za jimboni kwake ghafla mwaka wa tano anagundua ubovu wa barabara hizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄Hata mshipa wa aibu hawana hawa watuHivi kwanini ikikaribia chaguzi huwa wanajitoa ufahamu?
Kwanini anaingilia kazi za watu na kujifanya tandiboi?
Unaona kabisa kajichafua makusudi 😆 😂 😆 😂
Hawa watu wasanii sana
Ina maana na yeye anataka wa kumzungumzia bungeni ama
Halafu angalia wanavyovimba bila mpangilio😄😄😄Hata mshipa wa aibu hawana hawa watu
Ni mwaka wa uchafuzi lazima ajichafue ili apate kulaWakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
Hivi tz wapiga kura wake washaamka kwaniWakuu,

Hawa ndio daima wanasema mama kaupiga mwingi, sijui mwingi upi huo? Nchi iko taabani kila mahaliHuyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Kamdhalilisha sana Mhe Rais. Rais annamwaga mapesa kumbe Kuna maeneo hayasimamiwi vizuri. Matokeo yake ndo Mbunge mpuuzi kama huyu anaogolea kwenye tope kama Kambale.Hawa ndio daima wanasema mama kaupiga mwingi, sijui mwingi upi huo? Nchi iko taabani kila mahali