Pre GE2025 Video: Mbunge wa Malinyi Morogoro achafuka kama mtoto baada ya kutembea kwenye matope akishangaa kwanini jimbo lake lina miundombinu mibovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Election time goes hand in hand with campaign season and plenty of drama.
 
Hii ni mijitu mipumbavu ikikaa bungeni kwenye viti vya kuzunguka na kunesanesa kazi yao ni kumsifia mtawala wakitoka nje huko kwa wananchi wanawababaisha kwa kulalamika,ingekuwa kuna uchaguzi huru dawa yao ni kuwapiga chini tu wabunge kama hao.
 
Shubamit! Huyu ni miongoni mwa Wabunge wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanganyika.

Hiyo Sanaa anayofanya inatia kinyaa!! Hovyo kabisa
 
Wamepewa daraja zuri na imara, na kupunguziwa vifo vya ajali mto Kilombero bado hajaridhika??. Mahenge-Ulanga mpaka hapo wamependelewa sana. Anajidhalilisha bure kujilowesha matope.
 
SafiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Politics for survival..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…