Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hiki chuo kikuu Cha manabii kipo wapi mkuu NAMI niende!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 kwamba Pokea ndoa, pokea utajiri, Pokea magari, pokea nyumbaDini ninayoiyamini niile inayoanza kuandaa mbegu inakuza mmea wake na kuyaona matunda yake
Hizi ambazo zinataka matunda tuu ni biashara siyo dini
Ni bora kajitangaza kuwa nae ni utapeli maana nae huwa anaombea/tapeli watu wake.Ni bora wabaki kule kwamaana utapeli uko organised and systematic.
Kwasababu hakuna namna yeyoye ya kumzuia mtu anayetaka kutapeliwa asitapeliwe
Izo ni biashara kaka ukimaliza unatoa na sadaka ya kujimaliza🤣 kwamba Pokea ndoa, pokea utajiri, Pokea magari, pokea nyumba
Tena kabisa hayafai mamikono yao yamejaa nguvu za giza ukiguswa kwenye paji la uso shida ndo zinazidi wa ovyo sanaLink yako jaribu kui paste vizuri ili mtu aende moja kwa moja! Haya makanisa ya maombezi na kufata utabiri na miujiza ni hatari sana. Bora turudi na makanisa yetu ya zamani Mungu ni mmoja.
Wengine wameumizwa na kurudi nyuma kimafanikio
Makubaliano naye.lakini pia itakuwa apiga mtu jiwe la gizani baada ya kuona anazidiwa.Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku.
Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani mengi ni utapeli mtupu!
Nampongeza Mchungaji Lusekelo kwa kuwa mkweli.
file:///var/mobile/Library/SMS/Attachments/85/05/B9E9E771-3C60-4DE2-8EB0-BD296E605D6E/8847b96a-39d4-47c7-b83f-d97c1d114027.MP4