Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu

So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, World Bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.

59176857-1776-4190-B3B7-9C5A4F54E969.jpeg


Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.

Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.

 
Naamini mpaka hatua ya world bank kukubali kusitisha mkopo,kuna hoja zenye mashiko na nguvu.

Sidhani kama kuna mtu anaweza kupenyesha fitna world bank bila kuwa na hoja za msingi.

NB: Kama ni hoja pekee za Zitto ndio zimeshawishi world bank kusitisha mkopo nampongeza sana, ila kama ametumia nembo ya bunge kuonesha kuwa ni wabunge wote ndio wamekubaliana hapo kuna shida.
 
Sikubaliani na Msimamo wa Zitto Kabwe kwa asilimia zote , ila vitisho vya kuuana hapana

Bulembo kakosea sana sana sana

Hii record inaweza kumpeleka The Hague kimasihara.masihara yakitokea madhara kwa Zitto

Angekuwa ANATAFAKARI, Bulembo angerejea mahakama ya Kimataifa ya mauaji ya Kimbar Arusha


Augustine Pinochet wa Chile, Slobadan Milosovic wa Yugoslavia moja ya mambo yaliyowagharimu ni 'ndimi' zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom