M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Hivi yuko wapi yule aliyesema "mtu hawezi kutusaliti kwa mabeberu halafu akasavaivu"? Nakumbuka kesho yake kuna mwili wa mtu ulimiminiwa risasi 16!Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu
So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, World Bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.
View attachment 1346062
Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.
Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.
View attachment 1344066
Mungu si wa mchezomchezo hata kidogo.