ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 907
huyo ni special seat wameambiwa kila hoja itakayotolewa na Mbunge wa CCM lazima waigongee meza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikubaliani na Msimamo wa Zitto Kabwe kwa asilimia zote , ila vitisho vya kuuana hapana
Bulembo kakosea sana sana sana
Hii record inaweza kumpeleka The Hague kimasihara.masihara yakitokea madhara kwa Zitto
Angekuwa ANATAFAKARI, Bulembo angerejea mahakama ya Kimataifa ya mauaji ya Kimbar Arusha
Augustine Pinochet wa Chile, Slobadan Milosovic wa Yugoslavia moja ya mambo yaliyowagharimu ni 'ndimi' zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nawatafakari watu wanaosali makanisa ya Aina hii...nswaogopa!Hivi mnikumbushe Kuna kitu nakumbuka kwa mbali ila kinatoka au niliota!Pelekeni sadaka ajenge ghorofa nyingine
Hao ndio aina ya Wachungaji tulionao. Eti Wachunga Kondoo wa Bwana. Kabla hawajatenda yao kwa Mh Zitto wajikumbushe ya Mdhihiri Mdhihir na leo yuwapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hayo makanisa peke yake .Mimi huwa nawatafakari watu wanaosali makanisa ya Aina hii...nswaogopa!Hivi mnikumbushe Kuna kitu nakumbuka kwa mbali ila kinatoka au niliota!
Hivi di kulikuwa na habari ya huyu Mama Rwakwatare ili trend ...alipoonekana akicheza mchezo fulani wakuvingirishana...Kama mieleka na Mrembo mmoja hivi!
Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu
So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, world bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.
Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.
Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's school na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.
Aliviringishana na nani mkuu?Pekua kumbukumbu tuendelee kuwafahamu vizuri viongozi wetu.Hatari sanaMimi huwa nawatafakari watu wanaosali makanisa ya Aina hii...nswaogopa!Hivi mnikumbushe Kuna kitu nakumbuka kwa mbali ila kinatoka au niliota!
Hivi di kulikuwa na habari ya huyu Mama Rwakwatare ili trend ...alipoonekana akicheza mchezo fulani wakuvingirishana...Kama mieleka na Mrembo mmoja hivi!
Hatumshangai Bulembo maana huenda keshaua kadhaa! Tunamshangaa mcunga kondoo kushangilia mauaji! Inashangaza sana kufikia hatua ya kutangaza na kushangilia mauaji kweupe.Lwakatare is a bufoon.
Lakini, kwa nini aliyeshangilia habari za Zitto msaliti kuuawa anakuwa habari kubwa kuliko aliyesema habari za Zitto msaliti kuuawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushahidi?Huyo mama alipewa Pesa na msaada na mabasi na mabeberu ajenge shule ziwasaidie bure wasiojiweza wapate elimu yeye anatoza Ada kubwa kibiashara
Mimi tangu zamani nilishajitoa katika ujinga wa kumuamini mtu kwa sababu ni kiongozi wa dini.Hatumshangai Bulembo maana huenda keshaua kadhaa! Tunamshangaa mcunga kondoo kushangilia mauaji! Inashangaza sana kufikia hatua ya kutangaza na kushangilia mauaji kweupe.