Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Si mlitaka vyama ving pambanen navyo Sasa

kilicho akilini kitumie
 
Kauli yake hiyo ya mauaji imeungwa mkono na Spika wa bunge na wabunge wote wa ccm akiwemo Mama Lwakatare anayejiita Mchungaji

Collection of savage mongrels!

Hewa kabisa haya majitu!

Bado yapo kwenye karne ya cannibalism

Hayajui kuna rule of law kila mtu yupo sawa before the law,mtu ahukumiwe kwa kupewa fair trial of his peers!

Sijui haya mamalias yataelewa lini?

Halafu ndio ruling class yetu?

Uchafu kabisa!
 
Bulembo amechemsha? umoja na utu wa Kitanzania vipo wapi? angekuwa ni Mbunge wa Kuchaguliwa na wananchi ningeshangaa sana
 
Biblia inasema katika Mathayo 7:16-18,

"16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

Na pia katika Mathayo 7:21-23 neno la Mungu linasema,

21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

So akili kichwani,wengi wanaojiita watumishi siku hizi,ni matapeli wa Injili.
 
Bunge linaongozwa na mpuuzi!Asimame mpinzani apendekeze Spika auwawe tuone itakuwaje!
 
Back
Top Bottom